HILDA & JULIO WAONGEA NA WADAU BAADA YA KUREJEA

Friday, May 18, 2012 0 Comments

 

Aliyekuwa Mwakilishi wa Tanzania katika Shindano la msimu wa 7 wa  Big Brother Stargame 2012 wapili kulia Bw.Julio Batalia  akizungumza na  waandishi wa habari kwenye mkutano uliofanyika kwenye hoteli ya Southernsun jijini Dar es salaam , wa pili kutoka kulia ni Mshiriki wa Big Brother Stargame 2012 Hilda Reiffenstein, kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Multichoice Tanzania Bi Furaha Samalu wa mwisho kulia na kushoto ni Meneja Uhusiano wa Maltchoice Tanzania Barbara Kambogi

Alikyekuwa Mshiriki wa Big Brother Stargame 2012 Bi,Hilda Reiffenstein akizungumza na wanahabari kwenye hoteli ya Southersun jijini Dar es salaam leo, kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Multichoice Tanzania Bi Furaha Samalu wa mwisho kutoka kushoto ni Meneja Uhusiano wa Maltchoice Tanzania Barbara Kambogi na Bw.Julio Batalia aliyekuwa mshiriki wa Bigbrother Stargame 2012
Afisa Mahusiano wa Multichoice Tanzania Barbara Kambogi wakwanza(kushoto) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ambapo ametolea ufafanuzi mfumo uliotumika mwaka huu katika kuchagua nchi itakayotoka katika shindano hilo  Afisa Mahusiano wa Multichoice Tanzania Barbara Kambogi wakwanza(kushoto) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ambapo ametolea ufafanuzi mfumo uliotumika mwaka huu katika kuchagua nchi itakayotoka katika shindano hilo  
Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano 
 

0 comments: