HONGERA SAUDA MWILIMA NA KAULI JUMA "BEST", KILA LAKHERI KTK MAISHA YA NDOA

Sunday, April 15, 2012 5 Comments

  Mtangazazi wa Star TV Sauda Mwilima na mumewe KAuli Juma 'Best' baada ya kufunga ndoa jana katika ukumbi wa Catch uliopo Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam. Baadaye kulifuatiwa na sherehe ktk ukumbi wa Msasani Beach

 Mdau, Penny, Dida na mama Penny

 Penny, Sinta na Sakina Lyoka


 Maharusi wakiingia ktk ukumbi wa Msasani Beach kwa sherehe ya Harusi yao

 Ukiondoa Bestman na Matron, pia Maharusi walisimamiwa au walipambwa na vijana wa4 watanashati mjini wanaume na wanawake kutoka kushoto Martin, Diamond, Ommy Dimpoz na mwingine mwisho kulia

 Sinta akisalimiana na MC wa harusi hiyo Steve Nyerere




Rachel,Dida,Martin Kadinda Wakifungua Champagne.

Matron Dida akiwamiminia Champagne Maharusi.
Ninyweshe nikunyweshe ndio ishara ya upendo.

 Wema na rafiki yakekulia ni Godwin Gondwe




Sherehe ilifana ile mbaya, Mc wa shughuli Steve nyerere kulia.

5 comments:

  1. Dida nikwambie kitu umetoka chicha hasa kwenye hiyo nguo yako ya orange mashallah. hebu nitonye mwaya hilo duka nami nna harusi ya mwana hivi karibuni

    ReplyDelete
  2. hongereni maharusi mmependeza sanaa na harusi yenu ni nzurii mungu awazidishie upendo daima,na pia dida ulipendeza sana nimependa dira lako la blue na makeup yako imetulia mnooo!!!nakuona wewe na mumeo mnazidi kunenepa kila kukicha hiyo ni dalili ya ndoa nzuri na yenye mapenzi..mungu awajaalie upendo daimaa..

    ReplyDelete
  3. bi haruc katisha kwa kuzidishwa mimake up.na gauni lake la kichina...bora angeshonesha hata hajapendeza

    ReplyDelete
  4. sinta jamani ana miguu mibaya miguu ina vigumbi kama mwanariadha wa kenya

    ReplyDelete