TUZO ZA KILIMANJARO ZILIVYOFANA MLIMANI CITY LEO

Sunday, April 15, 2012 4 Comments

Malkia wa mipasho tanzania au Gwiji la mipasho akiwa na Tuzo yake ya utumbuizaji bora chezea yeye mwanamke nyonga makalio hata kuku anayoooooooo.
Isha mashauzi akiwa mwenye furaha na Tuzo ya Wimbo Bora wa taarabu.
Khadija Kopa 'malkia wa taarab nchini' usiku wa kuamkia leo amejinyakulia Tuzo ya Kwanza ya Kili sambamba na Isha Ramadhani aka 'Jike la Simba' ktk sherehe zilizofanyika Mlimani City ktk kuhitimisha mashindano ya Tuzo za Muziki Tanzania 2011/12.Isha amenyakua Tuzo ya wimbo bora wa Taarab, wakati Khadija Kopa ametwaa Tuzo ya Mtumbuizaji bora na kuwabwaga vijana kibao wa Bongofleva.

Tuzo ya Heshima imekwenda kwa mkongwe wa Taarab Bi Shakila Said  akiwakirisha Taasisi ya JKT. Zingine zilichukuliwa na Hayati Remmy Ongala kwa mchango wake mkubwa alioutoa ktk tasnia ya muziki Tanzania sambamba na mkongwe KIKI 'mzee wa kitambaa cheupe'

Miss Tanzania.
Mamaa Lolaaaaa.
H Baba.
Mr & Mrs G

 wadau wakifuatilia Tuzo hizo kwa makini

 nilikutana na mtangazaji anayenifurahishaga sana, Alfredy MASAKO wa ITV


ORODHA YA WASANII WENGINE WALIOTWAA TUZO ZINGINE BOFYA HAPA CHINI;
1. WIMBO BORA WA RAGGAE.
-ARUSHA GOLD BY WARRIORS FROM EAST.

2. WIMBO BORA WA DANCE HALL.
- MANENO MANENO BY QUEEN DARLIN.

3. WIMBO BORA WA ZOUK RHUMBA.
- DUSHELELE BY ALI KIBA.

4.BORA WENYE VIONJO VYA KIASILI.
- VIFUU UTUNDU BY A.T-

5. WIMBO BORA WA TAARABU.
- NANI KAMA MAMA BY MASHAUZI CLASSIC ( AISHA MASHAUZI).

6. WIMBO BORA WA KISWAHILI.
- DUNIA DARAJA BY TWANGA PEPETA-

7. WIMBO BORA WA AFRO POP.
- HAKUNAGA BY SUMA LEE-

8. WIMBO BORA WA R&B.
- NUMBER ONE FAN BY BEN PAUL-

9. WIMBO BORA WA HIP HOP.
- MATHEMATICS BY ROMA-

10. MSANII BORA ANAECHIPUKIA.
- OMMY DIMPOZ (NAI NAI SINGER).

11. RAPA BORA WA BAND.
- KALIJO KITOKOLOLO-

12. MSANII BORA WA HIP HOP.
- ROMA MKATOLIKI-

13. WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHWA.
 - NAI NAI BY OMMY DIMPOZ FT. ALI KIBA-

14. WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI.
-KIGEUGEU BY JAGUAR-

15. MTUMBWIZAJI BORA WA KIKE.
- KHADIJA KOPA-

17. MTUNZI BORA WA MWAKA.
    - DIAMOND-

16. MTUMBWIZAJI BORA WA KIUME
- DIAMOND-

18. MTAYARISHAJI BORA WA MAPIGO YA MUZIKI.
- MANEKE-

19. VIDEO BORA YA MWAKA.
- MAWAZO BY DIAMOND-

20. WIMBO BORA WA MWAKA.
- HAKUNAGA BY SUMA LEE-

21. HALL OF FAME.
     -  TAASISI JKT-

22. HALL OF FAME KWA MTU BINAFSI.
      - KING KIKII-

23. HALL OF FAME KWA MTU BINAFSI.
     - DR. REMMY ONGALA-

24. MWIMBAJI BORA WA KIKE.
     - LADY JAY DEE-

25. MWIMBAJI BORA WA KIUME.
      - BARNABA-

4 comments:

  1. Shoga dida uwo mguu ata mafuta ya nazi mmm umekauka

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Salima. Hivi Dida una undugu na salima. Mmefanana sana. Mlipendeza sana. All tbe best kwa ndoa yako

    ReplyDelete
  3. Hallow dida habari yako na pole sana kwa majukumu ya famili na majukumu yako ya kikazi kwani umeweza kuyamudu vizuri. samahani sana mimi naitwa hidaya tulisoma wote makongo sekondari mara ya mwisho tulionana na sinza kwenye salon ya rose tukzpeana contact ila kwa bahati mbaya simu yangu iliibiwa na baadye nikasafiri nipo nje ya nchi kwa muda mrefu sasa. tafadhali naomba tuwasuliane kupitia namba hii +32 0493 440 156 unaweza ukanitumia hata sms.

    ReplyDelete
  4. Dida uko juu mwaya usisikilize majungu ya watu twakupenda kuoita maelezo mpendwa wetu. kila la kheri.

    ReplyDelete