Lile Shindano la "Make Up", nani mshindi kati ya hawa?

Monday, March 19, 2012 11 Comments

Leah

Fatma

Baby Zay

Joyce


Lulu

Kutokana na ile Post ya SHINDANO iliyokuwa na Masharti ma4 haya hapa chini, Tunahitaji mmoja kati ya hawa watano awe mshindi, jinsi ya kumpata tunawapigia kura kwenye kisehemu cha ku-vote hapa juu kulia
(Leah, Fatma, Baby Zay, Joyce na Lulu) 

1:NITUMIE PICHA YAKO UKIWA HUJAPAKA PODA 
2:HUJAPAKA LIPSTIK
3;WANJA 
4:KOPE

11 comments:

  1. kura yangu nampa lulu.

    Mama Dja

    ReplyDelete
  2. kura yangu nampa fatma ka kweli she is cute bila makeup

    ReplyDelete
  3. kura yangu nampa fatma.

    ReplyDelete
  4. kura yangu nampa joyce

    ReplyDelete
  5. Hadija tushachelewa?
    looh hili shindano linanifaa miye coz hiyo ndo hali yangu kila siku. je nitume?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tuma, bado haujachelewa...... ntaliweka tena

      Delete