JAHAZI, AT na SHILOLE KUPAGAWISHA TRAVERNTINE JUMAPILI HII, 25 MARCH

Monday, March 19, 2012 1 Comments

 Mzee Yusufu kiongozi wa Jahazi Morden Taarab akicheza kiduku ktk moja ya maonyesho ya bendi yake

 AT kati na SHILOLE kulia wakishambulia jukwaa sambamba na dancers wao, jumapili inayokuja wataonyeshana ufundi ktk jukwaa la Traverntine Hotel Magomeni watakapotumbuiza nyimbo za mbalimbali za mduara


AT mkali wa miduara

Bendi ya JAHAZI MORDEN TAARAB sambamba na wasanii wawili 'solo artists' wanaotamba sana ktk ile style ya mduara AT na SHILOLE watafanya onyesho la pamoja ktk ukumbi wa TRAVERNTINE HOTEL uliopo Magomeni jijini DSM


Pia kutakuwa na burudani mbalimbali kutoka kwa Dancers ktk show hiyo iliyoandaliwa kuanza mida ya saa 2 za usiku mpaka majogoo ikiongozwa na ma-MC wakali akiwamo Dida wa G, Kiingilio ktk Burudani hizo kimepangwa kuwa Tshs. 5000 tu, wadau wote mnakaribishwa.

1 comment:

  1. ansante mama Sami kula vichwa mwanamke kuchakalika..

    ReplyDelete