BAADA YA KUWEKA MAMBO SAWA.. NARUDI HEWANI JUMATATU IJAYO, 26 MARCH... NIMEWAMIS WADAU!!

Monday, March 19, 2012 6 Comments

Baada ya kuweka mambo sawa..... takribani miezi mitatu sasa, napenda kuwajulisha ujio wangu mpya ndani ya Times 100.5 Fm

Tega sikio kama kawa kama dawa ktk frequency zilezile za Radio Times Fm kutokea Kawe Beach jijini DSM. Nitakuwa hewani na kipindi changu kilekile nilichokianzisha miaka nane iliyopita cha MITIKISIKO YA PWANI, na mishale ni ile ile Saa 6 mchana mpaka 10 jioni.

Wadau wa Dar na vitongoji vya karibu na Magomeni tutasomana ndani ya Traverntine Hotel ktk show kali ya Taarab na mduara jumapili ya Tar. 25 usiku

KIAFRIKA ZAIDI!

6 comments:

  1. Safi sana Dida. Nilikukosaje....?

    ReplyDelete
  2. Replies
    1. unaota wewe njaa anayo mama yako

      Delete
  3. waooooooo,siamini masikio yangu dida mpaka pale nitakapo kusikia kwenye kipindi,yani huwezi amini dida tangu siku uliyooacha kutangaza kipindi cha mitikisiko na mimi ilikuwa ndio mwisho wangu kusikiliza times,ila j3 mapemaaaaaaaaaaaa ni tafungulia redio yangu kusubiri kwa hamu kipindi chako kianze yani hata bi hindu sasa atachangamka ile mbaya,kila laheri dida na anaekuombea mabaya mungu akuepushieeeeeeee,I love u dida,mimi jane wa sinza kumekucha.

    ReplyDelete
  4. Du u re most welcome baby Dida kiukweli mi si mpenzi wa taarabu lakini niliipenda taarabu kupitia kipindi chako cha mitikisiko ya pwani, nilikuwa navutiwa sana na utangazaji wako na maneno ya kuchombeza , lakini toka u-resign nikasikiliza mara moja tuu ki ukweli those old man waliniboa na sijasikiliza tena. Monday saa sita kamili i will tune 100.5 mikitisiko ya ..........

    Karibu sana i real miss u!

    ReplyDelete
  5. Hicho kinyago Sinta kinamaanisha nini????
    Utakufa mdomo wazi wewee, mwache DIda afanye life yake, we usitake umaarufu kupitia mgongo wake.

    Nyoko weee, na utatengwa hapa mjini hadi na wamasai.

    ReplyDelete