WADAU UNAMJUA ANAYECHUKIA MAENDELEO YAKO CHUNGUZA HIVI.
1:MTIZAME USONI UKIMWAMBIA KITU CHAKO CHA MAENDELEO USO WAKE UTAUONA
2:TABASAMU LAKE LA UONGO LILILOSHEHENI CHUKI NA CHOYO.
3;HATA USHAURI WAKE KATIKA MAMBO YAKO SI MZURI.
4:ANACHEKA NA WEWE KISINEMA.
5:KAMA ANAKIPATO LAZIMA AKUGEZE KITU ULICHONACHO SI SABABU YA MAENDELEO BALI KUKUONYESHA NA YEYE ANAWEZA.
5:HODARI WAKUKUZUNGUMZIA MABAYA YAKO KULIKO MAZURI
6;KUKUSIFU LABDA MWENYEWE UWEPO LKN USIPOKUWEPO MBONA UNAGEUZWA KIKATUNI CHA MTU KWAOOOOOO.
JE ULISHAWAI KUKUTANA NAVYO JIACHIE KWA RAHA ZAKO NA BADO MNAFIKI KAMA HUMJUI NITAKUCHAMBULIA HUMU SABABU WAKINUNA KWANGU MZIKI UNAENDELEA,NITAKUJUZA NA WENGINE.
watu kama hao wewe unapoteza mawasiliano mara moja. Mi nina wapumbavu kama hao nimewakwepa mbaaaali. Kila wakinipigia tukutane for drinks niko bize, sipendi wanafiki. Kuna mmoja alinifuata mpaka ofcn eti kunipaka najifanya niko bize, pumbaf zake nilimtolea uvivu sidhani kama nitamuona tena! afadhali akajifilie hukooooo maporini mfuuuuuuuuuu
ReplyDeleteaminia da dida! wamezidi sana hao, yani uliyosema yote kweli mtupu, mi mwenyewe nna shoga yangu yangu yupo hivyo hivyo yani yote uliyosema anayo, hata simuelewi anakaa kuniombea mabaya kumbe hajui ndo ananifanya nizidi kuneemeka. WACHANE HAO WAJAA LAANA WASOPENDA MAENDELEO YA WATU
ReplyDeleteKAMA KUNA SIKU UMEGONGA IKULU MWANAWANE BASI LEO HALOOOOOOOOOOOOOOOOOOO WATAISOMAJE??????
ReplyDeleteYani kweli leo umenena Dida, umelenga haswa wape wape vidonge vyao... Watu wa namna hiyo utawajua tu na kifuatacho ni kuwachora huku unaongeza speed..
ReplyDeleteHIYO NI KWELI. KUNA MDADA ANAISHI MITAA YA SAYANSI,ANA DALILI ZOTE HIZO ULIZOTAJA.HASA HASA NO. 5. Kazi yake ni kusema wenzie wamechoka, wamefulia, hawana kitu,nk. ukimuona yeye hana lolote, hang'ai usoni,viwalo hana, kaz kuazima. Kwenye mitoko ukivaa vizuri anaadhirika uso unamshuka mpaka anahama meza.
ReplyDeletehalooooooooooooo watasonyaje wachimba chumvi kenge hao eti kwako kukiwa na picha ukutan uchafu lakin kesho unakuta na wao wametafta za mabibi zao wameweka ehehhehehehehehe kweli wasohaya wawe na mji wao wallah masiki roho zaoooooooooo ahhahhhahahahahah mungu awaponye roho za khusda na hasada heheheheheheh alafu weusiiiiiiiiii ngozi hadi nafsi ahahha karolite mwaka wa kumi hawangai ehheheheheheheheh nicheke mie tena kicheko cha dida hahahahahahahhha
ReplyDeleteHi Dida!
ReplyDeleteKwanza kabisa hongera kwa kazi nzuri kwa your blog kwani ndo nakutana nayo kwa mara ya kwanza,And yes watu kama hao wapo wengi na dawa yao nikuwaanika popote uwezapo,kwani kweli mimi wananifanya nitende dhambi maana siwezi kabisa kuwavumilia hata mangumi tutarushiana..yani washenzi kweli wasojijua. yani mtu mpaka blog zinawarusha roho jamani si hao ni wakupelekwa hosp"
HAHAHAHAAA DIDA HII NIMEIPENDA SANAAA ...WA HIVYO WAPO WENGI WAMEJAA TELE/....WASHINDWEE NA ROHO MBAYA ZAO!
ReplyDeleteMIE NAE NNA SHOGA ANGU JAMANI HAYA ULIYOSEMA YOTE ANAYO TUNAFANYA NAE KAZI NILIMWAMINI KWA KILA JAMBO LAKINI LLLOOOOH KANIANIKA BALAA KIBAYA ZAID MPK KWA BOS WANGU!AKIULIZWA JAMBO MOJA ANAROPOKA MIA KUJIFANYA ANANIPENDA NIKITOKA TOPIC NI MIMI /DADA DIDA LEO UMEWEKA MAMBO YA MAANA MPK NIMEHIS UNANIJUAAAAAAAA!MAANA KILA KITU KINAGUSA KWAKE DUH!SIJUI NITAFANYAJE ILI AJUE NIMEMJUA TABIA ZAKE NA HAYA MANENO AYAONE
ReplyDeletehaaaaaa, mbavu zanguuuu, nimecheka hadi basi kisha umenigusaaa kweli mimi ni shogaaangu bia nimnunulie mimi, nyama nimnunulie, saa nyengine ofisini nimfate na gari langu lakini mtumeeeee, akikaaa na bwanaaangu kunisema hadi basi jamani, siku moja ghafla nilimwangalia usoni, lile tabasamu lake sikumuelewa kabisaaaaaaa, hapa unachosema Dida nimekukubalia ilimia mia moja kabsaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteDida kila mtu atasema hivyo hivyo, kwamba kwa upande wake ye ndo mwema! That means walochangia wote hapo juu wao safiii? Nani atajiandikia hapo ye ndo asie penda maendeleo?
ReplyDeleteIla kuna watu wale wanafanya hivyoo kukuringishia, zile za kabila fulani.
Pengine wala huonewi wivu, bali we binafsi mwenye maendeleo ndo unajistukia.
Hi all, plz mie nna wivu wa maendeleo. nikiona wenzangu wanafanikiwa napenda na mie nifanikiwe.
ReplyDeletehili pia ni tatizo. wadau hapo juu