NIMEPEWA JINA JIPYA JANA NIMECHEKA SANA MDAU MMOJA KANIITA DIDA MATELEPHONE,KISA BOFYA.

Friday, March 02, 2012 15 Comments


15 comments:

  1. Kuwa na simu 3 ni ushamba sio ujanja

    ReplyDelete
  2. mhhhhh, eti dia matelephone, sema dida zungu la unga, eheeee utajibeba mpaka tuone uko gerezani mwaka huu

    ReplyDelete
  3. sasa na wewe dida misimu yote hiyo ya nini??? tena yote aina moja???????
    inahusu sioni hata raha yake

    ReplyDelete
  4. wacha wee,ndo hayo sasa kweli acha uitwe jina hilo

    ReplyDelete
  5. mhhhhh hovyoooooooooooooo

    ReplyDelete
  6. hamna lolote mbwa nyie kazi yenu kubeba michina yenye lain tatu matako nyie mwanamke aliekamilika lazima awe na simu tatu kila laini na simu yake,naona zenu za tochi heitaz hamna mfanyalo kazi majungu tu kwani lazima mfungue blog hii mmetoka vigimbi kazi kukrash wenzenu mtajibeba, eti madawa kabebe na wewe kama rahisi manina zenu hatuwajali wala nini.ramla hapa kwaajili ya wajinga kama nyie

    ReplyDelete
  7. Acha ushambaaa Dida...kuwa na cm 3 mwenyewe unaona bonge la issue! Watu wana cm hata ukipiga mahesabu hivyo vimchina vyako havifikii bei ya cm moja ya ukweli. Unaboa khaaaaa...

    ReplyDelete
  8. yani huyu dida ni mshamba sijawaho ona.

    ReplyDelete
  9. jamani shule inasaidia hii nayo kwani habari duh wadada wenzangu mnatia aibu khaa

    ReplyDelete
  10. jmn kila mtu anaishi hatakavyo mbona ivyo walimwenguuuuuuuuuuuuu????????????khaaaaaa kma una cha kucomment c ukae kimya tu?mm penda ww dida watajijuaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama za kichina ako za kihindi zikowapi?, nawewe kabebe, kama ushamba acha wewe yeye ndio anapenda huo ushamba na anaushangilia, akiwa zungu la unga ni yeye na wewe unataka? Jamani kwani kama we hupendi kitu fulani ndio ushawishi kila mtu kuwa kama wewe? Muacheni abebe hata ukitaka cm 10 beba tu Dida.

      Delete
  11. mhh dida unakaz,nakuona uko kiswahili sana!yan maisha unayoyaish unaonekana hukuwah kuyaota,sahz unaona kila kitu dili,jaman hadi simu?hongera mwaya maana unataka kupongezwa naona, na huyo anaetukana ogopa mungu sio sifa kutukana

    ReplyDelete