WADAU INAKUJA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI,KAMA WEWE MJUZI WA MAMBO NA UNAJIAMINI NIPE FAIDA TANO ZA KITUNGUU TUTAJUTA.

Friday, February 24, 2012 8 Comments

  1. Icho ni kitunguu ila kina mambo mengi usijitie ujuzi wa kujiita MWANAMKE Kumbe MWANAWAKA Na mambo huyajui haya goma liko uwanjani ilo na Ajitosae bila khanga aje.

8 comments:

  1. HI DIDA, FAIDA YA KWANZA KINATUMIKA KUPIKIA VITU VINGII.2,NIDAWA PIA INAPONYA MAGONJWA YAMOYO UVIMBE,3,KINATUMIKA KUTENGEZA BADHI YA DAWA 4,PIA KINATUMIKA KTK UREMBO KAMA KUFANYA NYWELE ZIWE NZURI NA NZITO KWENYE STEAMING YA NYWELE,5KUONDOA MADOA NA CHUNUSU USONI UTUMIKA KAMA FACIAL.HAYA DIDA NIMEMALIZA UNIPE ZAWADI YANGU,MDAU SWEDEN

    ReplyDelete
  2. Sasa si utuambia maana yake dida,mana wengine huo mkole tulienda ushahidi tuu

    ReplyDelete
  3. WANAWAKA wote tumeshindwa, tunakupa MJI wewe MWANAMKE - nenda IRINGA. Haya tupe tupe hizo faida 5 za hicho kitunguu.

    ReplyDelete
  4. dida hujafafanua kua unataka faida za kiafya au vipi..
    kama kiafya basi pata hii kidogo..


    **onoins are members of allium family,

    -they have anti-bacterial and anti fungal properties.

    - a paste or ointment made out of an onion prevents infection in wounds and burns.

    -helps to reduce cholestrol and lower blood lipids and blood pressure.

    - treatments of colds,coughs, angina, bronchitis.

    -cancer prevention: onion extract rich in variety of sulfides, provide some protection against tumor growth.


    dida, mwaya mimi sio daktari, bali huwa ninapenda sana kusoma habari za vyakula, faida na hasara zake..sasa kuhusu kitunguu, topic yake ni ndefu sana, lakini kwa leo, umeomba tano tu bibie..

    happy women's day in advance my dear..

    mama brandon

    ReplyDelete
  5. naona wadau hawajui faida za kitunguu hebu funguka mama

    ReplyDelete
  6. 1 kuleta mnato
    2 kujikamulia machoni kujifanya ulikuwaa unaulilia kumbe walaaa
    3 pamoja na ndimu kusinyaisha tigo
    4 unaficha madawa yako ndani ya vitunguu hata mbwa wa polisi asikii harufu
    5 kukata harufu yako ya huko na huko .

    ReplyDelete
  7. hahahaaa, ANONYMOUS OF 02:56 PM..mbaavu zangu,,eeee,, hahahaaa nimechekaje ...wauza unga watakumind kishenzi unatoboa siri zao ,,,shaurilo..yani kumbe unaweza kuficha madawa kwenye kitunguu....kweli tukizawadie kitungu..
    ALAFU DIDA my dear..vitunguu mbona vipo aina kadhaa...na faida zake pia zipo tofauti na pia mapishi yake tofauti..!! anyway ,nasubiria wewe ndereva utuendeshe dear"

    ReplyDelete
  8. Haloooo! mwisho wa wiki bibi tupege hizo nyepes na nzito za kitunguu....hahahaha nakuzimiaga Dida na mambo yako wakuchukiao wajinyonge na kamba za viatu(gidamu)
    Napita tu

    ReplyDelete