MDOGO WANGU ROSE NDAUKA, ALITETA NA MIE JUZI KUWA SASA YUPO TYR KUOLEWA,KAMA DADA SINA BUDI KUKWAMBIA RUKSA MAMA.

Wednesday, January 25, 2012 3 Comments

Tulikaa muda mwingi chumbani kwake na kuteta tukajifotoaje ili siku ya siku ikifika asiende usokotela unyago,Nimkumbushe tulianzia chumbani mume ukamtaka mwenyewe haya cousin yangu utalikuta joka likwerere.

Ni kubadili tu mikao ilimradi mazungumzo yafike muafaka kwa nguvu za mwenyezi mungu utaolewa tu.

Mpaka kapungua chezea mkakati wa ndoa wewe gangamala mama ndoa si kitu cha mchezo nakuaminia na ndoa haina mzungu bibi wote wazaramu.


Dada mdomo huo ndio kigele gele au,Nakutakia kila lakheri ktk maandalizi ya harusi yako niko nyuma yako damu nzito kuliko maji.

3 comments:

  1. kila la kheri rose... au sijui aisha kitu kama hicho nimefurai kuwa na yy ni mwenzetu kumbe....
    mnyez mungu akutangulie...

    says
    fetty

    ReplyDelete
  2. kila la kheri of course watu wanatangaza ndoa na si uchumba bigup all the best

    ReplyDelete
  3. nakutakia maisha mema na yenye mafanikio katika ulimwengu wa ndoa

    ReplyDelete