WADAU KWELI NIMEACHA KAZI REDIO TIMES BAADA YA KUITUMIKIA KWA MIAKA NANE !!

Saturday, January 28, 2012 5 Comments


Wadau nimepata message zenu nyingi kupitia simu na facebook, nami nawamiss pia sana tuuuu!

Tangu tarehe 24 ya mwezi wa January 2012, niliamua mwenyewe kupumzika kazi ktk kituo cha redio nilichokitumikia kwa muda wa miaka nane

Kwasasa nipo nipo sana kwenye shughuli zangu za biashara mpaka mipango mingine itakapokamilika hope mtaniskia tena redioni kama kawa.

Tusubiri tuone kitakachofuata, Nawakaribisha sana DIDA CLASSIC BOUTIQUE
See you soon!!



5 comments:

  1. Yote kheri,kwani kila jambo na wakati Dida,nakutakia kila la kheri ktk maisha yako. Blog imependeza sana na hii new look!!!

    ReplyDelete
  2. kumbe kweli umekubali kudanganyika na m.3 mlizoahidiwa na jamaa R wa c fm.

    ReplyDelete
  3. Salaam Aalykhuim
    Dida uamuzi uliochukua kwa kweli umetushtusha wengi la msingi kama Dini yetu tukufu ya kiislam inavyotufunza Wote wawawili yaani wewe na mwajiri wako mlitakiwa muwe wavumilivu.
    Ningekushauri urudi mkae mezani,huko unakokwenda ni kubaya,hoyu jamaa aliyekurubuni amezungukwa na wapambe.
    hamtokaa muda mrefu

    ReplyDelete
  4. Shosti ibukia katika runinga uuze sura! Au vipi?

    ReplyDelete
  5. kwani kamehamia wapi haka hivi huyu sio hamnazo kweli mbona mie simuelewi kabisa

    ReplyDelete