WEEK END YANGU NDANI YA ZANZIBAR,NILITEMBEA TEMBEA WADAU NILICHOBAHATIKA KUKIONA SINA BUDI KUWAJUZA.
Nilifikia hapa unapopasoma kwenye bango pazuri sana kwani huwa nikipiga kelele redioni wiki nzima,Huwa natamani kukaa sehemu yenye ukimya sana.
Nilipumzika nikatoka kwenda kutembelea kwenye yale makumbusho hiki ni kijichumba wale watumwa walikuwa wanawekwa humu nilikutana na wenzangu babu.Hiki kinanda ni cha miaka kama hamsini iliyopita nikajitundika miwani ingawa najua huwa hainipendezi mhhhhhhh.
Niliingia kanisa ambalo lilijengwa miaka mingi iliyopita ila ndani nikaonyeshwa ilo kaburi alizikwa askofu ambaye alikuwa muanzilishi wa hapo.
Nikajirudisha home ukiwa angani bongo yetu ndivyo ilivyo.
asante kwa picha dada na kweli kizuri kula na mwenzie kibaya mtupie mbwa swali la kizushi mbana simwoni shemeji yetu au ulienda peke yako shemeji yetu ukamwacha wapi dear
ReplyDeleteDida jamani wapi Husband?
ReplyDeleteheeeeeeeeeeee je ulienda peke yako bila ya ubavu wako shoga kwa nn, wakati unabidi utembee na ubavu wako pembeni jamaaniiiiiiiiii au ndiyo vile tenaaaaaaaaaa.
ReplyDeleteMUMEO ULIMWACHA WAPI?????
ReplyDeleteHIVI SEHEMU KAMA HIYO UNAWEZA UKATUMIA KAMA SH NGAPI TUAMBIE AMBAO MPAKA TUJIPANGE NDO TUNAWEZA LALA HAPO SAMAHANI LAKINI MY DEAR TUJUZE AU NIJUZE MAMIII.
ReplyDeleteDida hongera kwa kujipenda, maana hizo outing kwa afya ni nzuri saana. ila nina swali hivi huwa unaenda sehemu kama hizo ukiwa na mume wako au huwa unaenda peke yako? sijamuona laaaziz wako, mi nikienda hotelini hata kama ni kikazi nje ya mkoa au nchi huwa hata usingizi sipati bila mume wangu, wewe je? ulikua nae au alisafir au hupendi unapendaga uwe na wasaa wako alone?
ReplyDeletemama B
nashukuru kwa swali wadau siwezi kwenda sehemu bila husband popote unaponiona nipo ujue na yeye yupo sababu ndio kila kitu kwangu ila tu huwa hapendi saana picha zake kuzionyesha humu ila kuna siku tu nitampachika hapo japo kidogo ila yuko powa tunamshukuru mungu yetu yanaendelea na nawashukuru wadau wangu pamoja daima.
ReplyDeleteDIDA HONGERA SANA KWA KUJIPENDA ILA NAOMBA KUJUZWA GHARAMA MAMA YANGU YA KUSPEND HAPO PER HEAD ILI NAMI NIJIPENDE KAMA WEWE BIG UP
ReplyDeleteMmh!ye2 macho ila unasubiri hadi apate vishavu kidogo ndo umuweke shemeji?hata kama yuko vipi ndo wako huyo shost!maana mmmh kaazi kweli kwelii!Mmh!ye2 macho ila unasubiri hadi apate vishavu kidogo ndo umuweke shemeji?hata kama yuko vipi ndo wako huyo shost!maana mmmh kaazi kweli kwelii!
ReplyDelete