WADAU NIMESAFIRI KIDOGO ILA NIKIFIKA SALAMA NITAWAJUZA NILIPO NA SWAGGA ZA HUKO NITAWAPA ISHALLAH.

Sunday, October 02, 2011 0 Comments

Air port leo na mtoto samira akinisindikiza mamake,huko ninakokwenda baridi usishangae mdundo huo hapo chini kitu cha baridi.

Nimetua muda mfupi nipo transit kwa sasa ndege inaondoka saa saba na nusu usiku na hapa ni saa mbili narobo mtoto wa kike nimeukimbiliaje msosi?nitawajuza yaliyomo huko niendako kwanza nifike salama wadau pamoja sana.

0 comments: