JAMANI KILA KUKICHA VIKOROMBWEZO HUMU NDANI NITAJUA BAABAE NILIIPENDA HII MEZA EBWANA SIKUTAKA MABISHANO WADAU.

Wednesday, September 21, 2011 11 Comments


Nikaona poa tu acha niichukue mniwie radhi kama nimechanganya sana.

11 comments:

  1. its got the wow factor Dida, well done mamiii kwa mtazamo wangu ni nzuri sana, sijui wengine wataonaje ila mie hoi nimeipenda pia. good job

    ReplyDelete
  2. jana na juzi ulikuwa ukisikika hewani hapa online leo naona off air, tupe mambo pulizzz sie wa mbali

    ReplyDelete
  3. Nyumba ni yako jiachie, usihofu. hata hivyo ni nzuri sana na siku hizi we do colour blocking, colour combo.

    ReplyDelete
  4. kwakweli ni nzuri haya ile ingine umepeleka wapi?hiyo imezidi kupendezesha nyumba

    ReplyDelete
  5. kwakweli dida unanifurahisha saana kwakupenda nyumba yako haswa umsafi saana mwanamke wawatu.hapo tuu unanimaliza unaonekana uko smart anzia wewe mwenyewe mwanao nahata mmumeo.napenda saana usafi.maana utakuta wanawake wengine wamependeza sana,kimazi ,gari nzuri hapo yuko nje nenda nyumba anamoishi chooni utatapika,chumbani ndo lah mashuka alalia wk tatuadi mwezi muwasho mtupu.jikoni ndousubutu kula kitu hata kunywa maji wajiuliza kwa glas ipi loh wanawake tuamke tuache uvivu nakutegemea watumishi wandani igeni mfano huu wa dada dida.tuweke na jikoni shoga tuonage napenda sana muonekano wanyumba yako ningeiona kwanje mana na mimi najenga yngu kimara sijamaliza.nihayo tuu mimi mdau sweden.love u dida bg up mamaa.wenye wvu wajichinje.

    ReplyDelete
  6. Noo pako fine ila kama ungekua na kiti cha orange ya hiyo meza.. ungekua umeua kabisaaa.. ila nakuaminia mwanaa.


    Mama lil B

    ReplyDelete
  7. hiyo coffee table hata mie nimeipenda kwakweli, wala hujachanganya mbona ndo kuna rangi yako uipendayo??? nielekeze umeinunua wapi mpenzi na mi nipitie, hope kuwa kutakuwa na zenye stand nyeusi au brown

    SHAKE WELL B4 USE

    ReplyDelete
  8. Dida hongera napenda kuona mwanamke anapenda nyumba yake km wewe, im the one ambaye napenda sana nyumba napenda kutembelea blogs za decorations kwangu kila wakati nabadilisha design.Tembele blog ya dada mmoja sasa hivi yupo Bongo anamifano mizuri jinsi ya kutengeneza nyumba yako blog hmdecoration2010.blogspot.com

    ReplyDelete
  9. Separate hizo stuli coffee table ibaki peke yake

    ReplyDelete
  10. da Dina umenunua wapi hy coffee table yako, nimeipenda sana naomba nielekeze.

    ReplyDelete