WADAU NIMEANZA MAZOEZI NINA KILO 65 MPK LEO LENGO NIWE NA KG 58 HAPO VIPI TAZAMA MATOKEO.

Thursday, September 08, 2011 12 Comments

Hivi nilivyo sasa.
Nisipokuwa baunsa basi tena.
Hili ni zoezi la kukata tumbo ni balaa.
Hapa ndio natoa pingili za tumbo.kitakachofuata mtakijua.
Haya mama wajibika.
Nina kl mita kibao za kukimbia hapa niliweka pozi tu.
Mie mnene wenzangu hawa wamezidi.

12 comments:

  1. tilia mkazo zoezi la tumbo mama,ukikata tumbo then hamia kwenye zoezi la kujenga booty,sijui kama huko bongo gym zinaowataalum,huna sababu ya kutumia mchina kujenga booty,yapo mazoezi huku us naona kila wakati kwenye tv wanaonyesha watu wanavyokata tumbo na kutengeneza ma booty,kwa mafanikio zaidi kwa tumbo na weight agiza online kifaa inaitwa ABROCKET TWISTER,Google kwanza upate habari zake,

    ReplyDelete
  2. jitahidi mama inaonekana utapendeza sana ukipungua ingawa usipungue sana, toa manyama uzembe, kifua na tako/vihips vibaki.

    ungepunguza before wedding ndo ingekuwa poa kweli ila its all good.

    jitahidi.

    Mama B, Tabata Savvana

    ReplyDelete
  3. Hongera kazana bi dada maana unene nao si mzuri, halafu na samira nae umpunguze kidogo.

    ReplyDelete
  4. Hii gym iko poa, ni wapi hapa? nasi tujiunge? Fee zake zinakwenda kivipi? if you don't mind telling us

    ReplyDelete
  5. SAFI SN KATA TUMBO IKIWEZEKENA NA NYONYO KDG MANA UKIWA MNENE NYONYO KUBWA ITS OKEY ILA UKIWA MWEMBAMBA NYONYO KUBWA HAINOGI SAA ZOTE KIFUA KITAKUWA MBELE KM SI JUU JUU. UKIWEZA MSHAURI NA SINTA BINAFSI UJLO WAKE SIJAUPITISHA APUNGUE KDG

    ReplyDelete
  6. GYM IKO PALE OILCOM SCIENCE NA ADA NI SH 70000 KARIBU TUJIUNGE.

    ReplyDelete
  7. dida mi sikuungi mkono kwa kipindi hiki kwani naimani mtakuwa mna mpango wa kuzaa unless otherwise muwe hamjajipanga kwa sasa> kama ni hivo kila la heri na maisha mazuri ktk ndoa yako.

    ReplyDelete
  8. duuuuuhhhhh!!!! bidada hongera, mimi nina kitumbo kile cha chini kinaitwa mbwete la ships vumbi, kukitoa nashindwa nimejaribu chai ya kichina nimeshindwa maana ni kuharisha tu,

    ReplyDelete
  9. HA HA HA WADAU TAYARI WASHAANZA KUKUWEKEA MAHESABU YA KUZAA WAAFRIKA BWANA ........ ANYWAY MI NAKUSHAURI ENDELEA JUU KIAFYA HATA UKIWA NA MIMBA HUTAKIWI KUWA MNENE SN UTAKUWA MZITO PILI KIAFYA ZAIDI UNATAKIWA KUONGEZEKA KILO 12 MPK 15 TU WAKATI WA MIMBA IF POSSIBLE JUU NI NGUMU KUNA WATU WANAKULA SN WAKATI WA MIMBA ANAFURA KM SI KUJAA UKIJAJIFUNGUA MWANANGU KUUKATA HUO MWILI UACHE KAZI UFANYE KAZI

    ReplyDelete
  10. Siamini kama una 65kg only.
    Nina 66kg ila niko mwembamba kuliko wewe sema ni mrefu zaidi yako

    ReplyDelete
  11. wewe acha uongo uwezi ukawa nakilo 65 wewe ni kuanzia 80 minyama yote hiyooo embu acha kutudanganyaaaa hapa

    ReplyDelete
  12. Very rapidly this web page will be famous among all blog users, due to it's good articles

    my page ... eternity warriors 3 hack

    ReplyDelete