JANA NI SIKU YA NUKSI KWETU VIBAKA WAMERUKAJE UKUTA KUINGIA KWETU,MLINZI KALALA ANASEMA ALIPITIWA INAKUJA HII JAMANI ASUBUHI TUMEKUWA WADOGO.
Sikuamini macho yangu niliona kama nimesinyaa mwili gari hii walibahatika kuchukua taa zote za mbele walishindwa kuvunja kioo cha nyuma cha gari mlinzi kalala sijui alilichapa tembo?
Ila tulipofika kwenye gari hii ndogo kweli hawa wamekivunja wakazama ndani na kuiba radio ilibidi tutazamane na G tucheke tu maana sijui kapigaje mbizi kupita mpka anafungua redio mlinzi hata kushtuka haya ndio maisha tugange yajayo,Ni usiku wa jana kuamkia leo si kurudishana nyuma huku kinachoniuma tumekwenda gerezani kuvinunua vile vile vyetu unaweza kumtoa mtu utumbo walai inauma sana.
Pole Dida, ndo maana vibaka au wezi wakikamatwa dawa ni kuchomwa moto tu au kumtoboa masikio. Mpe pole na G.
ReplyDeletePole mpenzi ndo dunia hii. kuna watu wako kwenye hii dunia kwa ajili ya kurudisha wenzao nyuma.
ReplyDeletePOLENI SANA DIDA KIKUBWA WEWE NA FAMILIA YAKO HAMJAMBO.
ReplyDeletePole sana Dida,Inauma sana ilinitokea pia nilikuwa mdogo na kwenda Gerezani navikuta vile vile! Nnachoweza kusema wanao waibia watu vitu vyao malipo ni hapa hapa duniani! Inaweza isiwe leo au kesho au kama sio kwao ni kwa watoto wao! usione mabalaa yanatufika ni malaana ya either ndugu zetu au sis wenyewe!
ReplyDeletePoleni kwanza,hivi mnaishi maeneo gani vile?
ReplyDeletePOLE DEAR
ReplyDeletepole sana mydya,ndio bongo yetu ila hawajui kua ndo wamekuwaongezea bahati.like u sana angalia mbele
ReplyDeletePole sana Dida. Kweli inauma.
ReplyDeletepole dida
ReplyDeletePoleni ila inabidi mlinzi aeleze vizuri ilikuwaje mpaka hao wezi wamekwiba hivyo hata kushtuka mh hapo hakuna mlinzi umtimue tu kazi utafute mwingine,na hivi huu wizi wa kuiba vitu kama taa na baaadhi ya vitu inakuwaje tena vinapelekwa huko gerezani na mtu unavikuta kwann inashindikana kudhibiti wizi huu wa kungoa kitu sehemu then unaenda nunua tena kile kile huko gerezani so na wao wanaonunua hapo gerezani ni wezi kwann wanunue vitu vya wizi na ww mwenyewe ukienda unakikuta na kununua tena jamani huku sio kuendelea kimaisha bali kurudishana nyumaaaaa hapo gerezani woteee wangetimuliwa na serikali sababu nao ni wezi tu.
ReplyDeleteJamani!!! pole sana dida hawa ndio mana watu wanawachoma moto, unafikiri shida zao zitaisha, watakufa na shida zao.
ReplyDeletefukuza mlinzi, hana maana, utalalaje bila kusikia kioo kikivunjika!! tafuta mlinzi mpya na weka na mbwa kama itawezekana. mbwa wanasaidia sana. pole sana.
ReplyDeletePole mamito
ReplyDeleteahsanteni wadau ndio mambo ya mjini nawashukuru sana ila tuwe makini sote maana wataturudisha nyuma baada ya kusonga mbele nawatakia siku njema.
ReplyDeleteNakushauri uweke mbwa,hataingia mtu walinzi mie siwaamini kabisa tulikuwa tunaibiwa ila toka tuanze kufuga mbwa hatujaingiliwa maana wananusa toka mbali sana,believe me mbwa ndio mlinzi wa kweli.poleni sana najua jinsi mlivyoumia
ReplyDeleteoooh pole sana dida mungu atakusaidia utapata na utaendelea kufanikiwa tu katika maisha yako
ReplyDeleteMdau finland
NAKUBALIANA NA MDAU KWAKWELI ITS TYM HAWA WATU WA GEREZANI WAKAMATWE JUU NA WAO NI WEZI LA HASHA KAMWE HATUTATATUA TATIZO KAMWE. UKIENDA PALE UKAPATA KIFAA CHAKO UKAWEZA KUTOA USHAHIDI KUWA NI CHAKO HUYU MUUZAJI LAZIMA ANYEE KIDEBE MANINA
ReplyDeleteDunaia hadaa, Dawa ya mwizi, tofali na zaidi ya yote petrol na kibiriti bila kuchelewa
ReplyDeleteNini taa hata wangeondoka na gari lote hawakurudishi nyuma. Sanasana utaangalia uchukie kifaa gani kipya.cheza na Dida weye!
ReplyDelete