HONGERENI SANA ABDULSAMAD KIMBAU NA BI HAMIDA KWA KUFUNGA NDOA JANA NI NDANI YA KASA HALL MIKOCHENI MUNGU AWALINDE.

Friday, September 16, 2011 2 Comments

Ukiingia kwanza unakutana na mambo ya udi ni full asumin.
Muonekano wa uumbi kabla maharusi hawajaingia.
Meza zilipambwa hivyo huku vijikahawa kwa sana.
Bi harusi akiingia ukumbini lkn kama unavyoona waingiavyo kwa mbwembwe kama tupo Bombay.
Anameremeta mtoto wa kike nimekipenda hicho kijipochi mie hoiii.
Bwana harusi akiteta na mkewe nahisi kama alikuwa anamwambia siamini kama tumeoana.
Wamependezana kama mapacha.
Shurti na mie nikautupia ushungi chezea waarabu weye.
Nilitupiaje?
Vijivazi vya kila dizaini vilikuwepo.
Mamaa Latifa dada wa bi harusi wakiri wa kujitegemea nae katupia.
Mamaa Salma nasor dada pia wa Bi harusi.


Vimependeza kiukweli.

Mamaa zeddy nae hakubaki nyuma pendeza sana.

2 comments:

  1. Maharusi wamependeza mashallah!

    Siku hizi waarabu wanakubali kuolewa na watu weusi? Alhamdullilah kweli Mungu mkubwa!

    ReplyDelete
  2. Dida Umependeza lol but wakiri ndio nini? wakili ndio maana halisi usuniangushe wajina

    ReplyDelete