AHSANTENI WADAU KWA COMMENTS ZENU ILA NIMEFANYA KUONGEZA NAKSHI KIDOGO KAMA IMEKAA VIBAYA RUKSA KUNIAMBIA TU.

Monday, September 12, 2011 9 Comments

Nimeongeza hako kameza ili kuweka nakshi kuliko kuweka chini.
Kuna mdau aliniambia nibadilishe kile kijikapu cha kuwekea magazine kilikuwa cha orange nimeweka white n black na counter nimeona tu nibadilishe niliipenda sana hii nilipoikuta inavutia usiku sana ukiwa umewasha ile bulb ni balaa unaruhusiwa bado kama itakuwa haijakaa vyema hapo wadau wangu.

9 comments:

  1. Hapo imekaa vizuri sijaona mapazia yana rangi gani, kwa ulivyoongeza black n white mapazia yangekuwa nayo meupe na prints nyeusi. kwa kua pesa ipo, jitahidi after muda flani unabadili furniture na mapambo kama hapo vilivyochanganyika rangi patakubore mapema. kaa hadi maybe X-MASS change everything uweke vipya then u wait for another season ya EID maybe or utakapojaaliwa.

    for now, it looks nice. na raha huna mtoto mdogo, jamani c wenye watoto wa miaka mi2 mi3 uwi mapambo hakuna tena washvunja. kila kitu na wakati wake.

    all the best.

    ReplyDelete
  2. TV iko juu sana, haina raha kutizama. Ishushe iwe hapo panapomalizia hizo spekers kwenye hiyo meza nyeusi. Utaniambia matokeo. Asante

    ReplyDelete
  3. Me nimepapenda Dida, mwanamke usafi muhimu. Colours hazina shida sana, but baada ya muda waweza badilisha set up na rangi pia! hongera

    ReplyDelete
  4. safi sana mwanamke usafiiiiiiii dida.me nimependa kabati ya vinywaji umenunua wapi na shiling ngapi?

    ReplyDelete
  5. Nimeinunua pale sinza kumekucha duka la maua panaitwa NYAMASONGA kuna vitu vingi vizuri sana hasa vya jikoni,toilet,mpk chumbani nenda pale utapenda sana.

    ReplyDelete
  6. Chezea wewe...

    ReplyDelete
  7. Ushauri wangu ni huu. Hiyo meza uliyoweka hapo ipo chini sana na tv. Ukiweza, shusha tv au nunua meza ndefu na vikaribiane na tv kama alivyosema mtu mwingine hapo awali. Halafu usijaze sana vitu sitting room, sioni sababu ya kuweka sijui ni picha hizo au ni mapambo gani hayo kwenye hako kameza. Pia naona kuna spika na hizo nyeupe sijui ni feni au nini? toa kimoja wapo ili pawe classic zaidi na utapapenda hapo mbele. Unavitu vizuri ila upangaji unaweza kukusaidia zaidi. Muhimu usijaze makorokoro sana mpaka panya akiingia ndani unashindwa mtafuta.

    ReplyDelete
  8. Umejitahidi sana, kama unataka ushauri zaidi mimi nimesomea interior design naweza kukusaidi namba zangu ni 0782 580058.

    ReplyDelete
  9. wewe nae unakichwa kigumu hilo li kabati la vinywaji weka dinning

    ReplyDelete