Msaada wa USHAURI

Wednesday, August 24, 2011 10 Comments

Hello dada Dida
Pole na majukumu yako ya kila siku. Mimi ni mpenzi sana wa blog yako.
Cha muhimu hasa nililoandika hii email dada yangu ninamatatizo mawili makubwa binafsi na kwa kweli kwa kupitia marafiki zako pamoja na wewe ninaamini yataisha.

1. Kwanza ninatatizo la kutokufika kilele nimeenda mpk hospital nikachekiwa nikaambiwa sina tatizo ila nikifanya mapenzi ni concentrate. Mimi nimelelewa kwenye familia ya Kikristo sana
hadi naanza chuo nilikuwa sijawahi kufanya mapenzi maana nilijua ni dhambi kubwa sana. Imefika mahali nimekuwa na BF kama watatu lakini sijui raha ya mapenzi mimi. Sasa hivi ninamchumba na
kwakweli anajitahidi sana kuniandaa mpk nafika nataka mwenyewe lakini akiingia tu wala sisiskii raha ya aina yoyote saa nyingine inabidi nijifanye nimesikia raha. Huwezi amini tayari nina miaka 32 lakini raha ya mapenzi sijui kabisa
kwa kweli naomba msaada, ninajitahidi kuweka akili yangu pale lakini sisikii chochote. Nikashauriwa na mama mmoja nijichezee mwenyewe kwa kweli nilipata raha ya ajabu, hadi inafikia saa nyingine nikiwa peke yangu nikikumbuka naanza kujichezea mwenyewe. tatizo tu mwanaume akiingia sisiskii chochote.

2. Pili mwenzio nina kiuno kigumu sana jamani hivi kuna dawa ya kulainisha au naweza pata mtu wa kunifundisha mpk nami niweze kukatika kipepee kama feni hahahaaaaa, yaani sijui kwakweli. Tafadhali nisaidie.

Natanguliza shukrani za dhati kwako.
Jack

10 comments:

 1. Asante Dida kwa kuweka post yangu. Jamani wadau wa humu ndani nasubiri maoni yenu. Kwa wale wenye chuki binafsi pls usicomment lakini ambaye yuko tayari kunisaida naomba ushauri wako na msaada wako tafadhali.

  ReplyDelete
 2. nimesahau kuweka jina naitwa mama najma au ramla jichezee kisimi wakati yeye anawajibika alafu mwambie asikulalie apige magoti au hata akifanya staili yoyote ile hakikisha unapata nafasi ya kijichezea wewe mwenyewe

  ReplyDelete
 3. una wazimu wewe chuki binafsi wazijua ndo mana kiuno hakiendi kwa uswahili.

  ReplyDelete
 4. WACHINA WAPO KWA WATU KAMA NYIE NUKTA

  ReplyDelete
 5. duuu hii ni noma anaesema umelogwa sio mi naona ni mwenyewe tu hukuwa na tabia ya maufundi kwani hayo mambo ni utundu wako mwenyewe fanya mazoezi ka mziki jaribu kucheza mwenyewe katika hasa taratibu utafika then kuhusu kujichezea ni poa ila minafikiri tatizo lako ni kuchuhulikiwa na mpenzi wako vizuri sehemu ambayo anajua unaweza kuoa ute wa utamu vizuri then aweke mzee wake taratibuuu then mchezo uanze taratibu taratibu then harder wakati mnaendelea mnawasiliana vipi sweet aaah harder oooh taratibu sweeet then utaona wenyewe mnajikuta wote mmeenjoy mchezo mpaka mnamaliza wote happppyly ok jitaidi amakaa bado ufurahi just tafuta toy yako nzuri [vaibrate] saizi yako then maisha yanaendelea ok una toy ntumie email then ntakutafutia poa aaaahhh

  ReplyDelete
 6. Njoo kwa shangazi yangu anafundisha watu kama wewe wenye viuno vigumu kwa Shs 50,000/- kuhusu kutokusikia utamu wakati unatiwa tatizo lako unajibana, mwanamke unatakiwa kujiachia wakati ukiwa na mwenzio,

  ReplyDelete
 7. kungwi la kimanyemaSeptember 4, 2011 at 9:16 PM

  Dada huku naona hamna washauri,peleka hili tatizo lako kule u-turn kwa mange..kuna watu wamepinda kule..watakupa maujuzi mpaka utasema basi inatosha sasa,yani mada kama hii huku mpaka sasa comment hazizidi kumi,kule kwa mange zingekua mia mbili,haya ndio mambo yao kule.

  ReplyDelete
 8. FRANK RUTASHUBANYUMASeptember 4, 2011 at 9:36 PM

  Nimefuatilia comment zote nimeona watu wanagusagusa tu,hebu chukua hii yangu

  ALL IN ALL NI LAZIMA TUFAHAMU KWAMBA TUNAZUNGUMZIA HIYO
  MKIDHUNGU WANAYOIITA SQUIRT JAPO SIJUI KIDHUNGU SAWASAWA HIYO NI HALI YA MTOTO
  WA KIKE KUMWAGA MAJI MENGI KUPITIA UKENI WAKATI WA KUFANYA MAPENZI.MTOTO WA KIKE
  HAWEZI KUMWAGA HAYO MAJI BILA YA KUFIKISHWA KILELENI BANDUGU,NA KAZI YA
  KUMFIKISHA KILELENI MWANAMKE INAFANYWA NA MWANAUME,MWANAUME ALIYEKAMILI NI
  LAZIMA AJUE KUMSHIKA MWANAMKE ALIYE UCHI ,MWANAMKE KAMA VILE GARI LILILOZIMWA
  ILI LIANZE SAFARI MPYA LINAHITAJI KUWASHWA UPYA.HII ILIKUA NI INTRO TU SASA
  TWENDE PAMOJA SHOSTITO......,

  ILI KUFIKA KILELENI NA KUYAMWAGA HAYO MAJI AMBAYO
  ALWAYZ HUWA YA MOTO KAMA MAJI YA KUOGA INABIDI MWANAUME AKUANDAE VILIVYO,HAKUNA
  MWANAMKE MKAVU HIYO MIMI NAKATAA,KILA MWANAMAMA ANAYO MAJI TENA YA KUTOSHA ILA
  TATIZO NI JINSI YA KUYATOA MAANA WANAWAKE WENGI MAJI YANAKUA MBALI NA WENGINE
  WAKIGUSWA ...

  ReplyDelete
 9. MI RAMLA DA DIDA NAOMBA UNIAMBIE DAWA YA KUPUNGUZA MWILI MANA NIMEKUONA WEWE UKO FRESH PLEASE NISAIDIE NAMI NIPUNGUE KIDOGO

  ReplyDelete