Tembelea Blog mpya ya AFROKIJA

Wednesday, August 17, 2011 0 Comments


Naitwa kijah mimi ni mmoja kati ya wafuatiliaji wa Blog yako lakini pia napenda kukujulisha kuwa nina blog yangu ambayo inaitwa afrokija,
http://www.afrokija.blogspot.com/

inazungumzia hasa masuala ya muziki na wanamuziki Barani Afrika na ninalenga hasa yale yanayojiri kwenye kipindi changu cha Afrobeat kinachorushwa na East Africa TV kila jumamosi saa 1 jioni, ingawa pia napost na habari zingine zinazonigusa ambazo naamini watu wengine wangependa kuzifahamu.
Hivyo naomba uwafahamishe wapenzi wa blog yako kuwa kuna hii blog ili waweze kupata habari kupitia blog yangu(afrokija)

Natumai utanipa ushirikiano

Nakutakia kazi njema na Mfungo mwema.. Ramadhani Kareem.

0 comments: