HONGERA MAMAA SAMIRA MUNGU AKUTANGULIE KWENYE NDOA YAKO,MWANAMKE KUTUNZWA JAMANI.

Tuesday, July 12, 2011 0 Comments

Mashallah mtoto umependezaje?
Mama amemtunza mtoto mambo hayo.
Naye binti alimtunza mama yake vilio vilitawala kwa furaha hakuna kama mama jamani.
Mijizawadi ya madada ukahangaike nayo.
Akapewa na vya jikoni ili asihangaike kuomba kwa majirani.


Kamati ilijipinda.

0 comments: