Mkubwa Fela aanzisha bendi

Tuesday, July 12, 2011 0 Comments

Mkubwa Fela kiongozi wa TMK Family ambaye pia ni msanii wa Taarabu ameanzisha bendi mpya Mkubwa na Wanawe Band ambayo inapiga mziki wa kitanzania, lengo ikiwa ni kuwasaidia wasanii kujua jinsi ya kutumia vyombo vya mziki.

Sambamba na bendi hio Saidi Fela amefungua studio ya kurekodia muziki vyote vikiwa vipo kwenye kampuni yake mpya inayoitwa MKUBWA NA WANAWE CO. LTD yenye makao makuu Temeke jijini Dar-es-salaam.

Meneja wa bendi


Mmoja wa dancers ktk bendi ya Mkubwa na Wanawe Band

0 comments: