Chezea Binti Machozi, afikisha miaka sita toka kuanzisha Bendi yake.

Monday, July 25, 2011 0 Comments

Hapa akiwa anafungua champagne ktk sherehe ya harusi ya Dida na G New Msasani club.
Jide ametoa Tuzo na fedha kwa wanamuziki na wapenzi wa muziki wake ijumaa iliyopita ndani ya Nyumbani Lounge ambapo hufanya show na Machozi Bend kila Ijumaa na jumapili baada ya kuhama Mzalendo

0 comments: