MAMBO YALIKUWA HIVI NI KIBAO KATA CHA HAJA JANA NDANI YA CHICHII HOTELI BOFYA.

Saturday, April 09, 2011 14 Comments


Mhhhhhh.


Nasra.
Mc maarufu bongo Jamila kitimtim.
Mamaa Nanaaa muweka lace wig bongo chezea yeye ukitoka lzm uonekane mmanga.
Hawa mkamba mamaaa ya Dernmark kwa sasa bongo akiwa na mdogo wake pendo.

Mtoto kiuno laini saluti kwa shemejiiiiiiii.
Mashallah Bi harusi Pendo wamo.
Somo na bi harusi.
Mwanangema wa mujini.
Ndo vile hata kama una mguu kama chupa ya gongo jiachie atakae kucheka yeye anao?
MHHHH Fatma pendesha.
Dida, Nasra.
Halima yeye ni kicheko maskini kila wakati hana shobo na mtu safi.
Dida na wadau.
Kwa raha zenu.
Sinta.

14 comments:

  1. Wewe unamfunda nani? Ndoa yako imekushinda au mnamfundisha umalaya mtoto wa watu mshindwe..........
    Huyo Mboni muuza k namba moja atamfunda nini?
    Wabaya na sura zenu mbaya

    ReplyDelete
  2. Huna sura ya mvuto unalazimisha pozi ..............
    Huna weage lingine kutwa lease weage
    Unatia kinyaa

    ReplyDelete
  3. wewe mwenye sura ya mvuto weka picha yako tukuone malaya mbovu usiye na market kama siye wauza kmnunuzi wetu mkubwa mumeo huna lolote mshamba usiya na kibali tanzania donge linakusumbua na umesikia kuna mtu anashida ya mume hapa wewe unayejipeleka kwa wanaume una bahati wenzio wametulia tuli wanatafuta maisha yao kweli k yako vigezo na masharti havikuzingatiwa ndio maana unawaonea donge wenzio dida uko juu na unawaumiza wakaanga viazi kwa mabua

    ReplyDelete
  4. duuuh..jamani!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. WANAWAKE TUHESHIMIANE JAMANI, KAMA UMPENDI MWENZAKO BASI ENDELEA NA MAISHA YAKO. DUNIA MZUNGUKO, KUNA SIKU MTANYWESHANA UJI KITANDANI HOSPITALI! MUNGU MKUBWA. MATUSI HAYANA FAIDA.

    ReplyDelete
  6. Du kweli Dida una moyo, na umeweka matusi ya huyo bi dada hapo juu bila wasi. Lakini mimi nina maswali kwa huyo bidada hapo juu

    1. je kuna siku walikuja kuazima K yako ili waendelee na biashara zao maana zao zilikuwa zimechokaaa?
    2. Na kama hawajawahi kuja kuazima kwako wewe waumwa/wawashwa na nini?
    3. Na kama una wasi wasi kuwa mumeo/bwana wako anakwenda kuzinunua hizo zao na kuiacha ya kwako ndani kamba za mgomba huzioni ukamfungia kitandani asitoke?

    Mama Dida na Iman

    ReplyDelete
  7. Imekuuma muuza K namba moja
    Mjiheshimu na bado
    Wenye heshima zao wote wametulia kwenye ndoa, wengine kutwa kusubiri wasanii waje mtongozewe na Clouds............Wapi mmechina

    ReplyDelete
  8. utajuta kunifahamuApril 15, 2011 at 9:10 PM

    anayetongozewa nani malaya wewe usiye na kiwango cha ubora kama mwanamke kweli tuendelee kuchambana utajua kama una kadi ya ccm mjini tulia na nakukaribisha na jua una jerlous na watu kwa hapa utachemsha mshamba usiyejua kukoga wewe

    ReplyDelete
  9. Jamani mpaka tunaogopa kuchangia mnajuana nini manake hayo matusi huwezi kutukuna mtu usiyemjua kuwenia wastaarabu jamani

    ReplyDelete
  10. Jamani nyinyi nyote wanawake, ni kama mnajitukana wenyewe, wanawake wenzangu tujiheshimuni jamani.

    Jamani mm nimesikitika sana kusikia kwamba hiyo kibao kata yani watu tu wamekaa wameamua wafanye!!! yani huyo binti wala hata hajachumbiwa wala nini!!! HIVI TUNAKWENDA WAPI JAMANI???? SOMETIMES LAANA, MIKOSI, TUNAJITAFUTA WENYEWE!! HAYA KILA LA HERI BINTI SIKU YAKO IKIFIKA UCHEZWE KIBAO KATA YA UKWELI MEANS UKITOLEWA KABISA MAHARI!

    ReplyDelete
  11. me Dida nakusifu kitu kimoja hubanii coments za mtu.na wewe unayesema mwenzio anauza K,kinakuuma nini nawe si uuze yako?hivi ni kweli unaweza ukafanyiwa kibao kata wakati hata mchumba huna?kazi kweli kweli!!!!!!!!!!DIDA BIG UP MAMIIII

    ReplyDelete
  12. asilimia ya mademu wote hapo hakuna mwenye ndoa wala mwenye boyfriend wa kudumu.sinta kaolewa kaachika,kazuga huko ug anarudi kiana kuchuna.dida wewe tunajua story yako maana uko muwazi so its ok,mboi,yvone na watoto wa ifm kutwa kwenye mablog kuuza sura na kuwinda kwenye maparty.nani atawoa kutwa mko mitaani

    ReplyDelete
  13. Jamani hata kama mtu anajiuza au la wee inakuhusu nini iwe mboni au nani sijui kuna siku alikuja kukuazima vyako? Waache waendele na maisha yao Haikuhusu tena mtakuja kusutwaga na makopo ya kuchambia jamani wanawake acheni Umbeya.Na hata Pendo kama ana mume sijui mchumba au hana wewe inakuhusu nini?Ukiona hivyo ujue wewe sio muhimu kwake ndo maana mpaka sasa haujamjua mumewe, au ulitaka aje akutangazie kwako kuwa ana mchumba. Ukome tena Ukomae.
    Love you madada wa Bongo mwaya.

    ReplyDelete
  14. dida jamani ningekupata mimi wewe mh usingehangaika na wanaume

    ReplyDelete