MASHOSTITO WATOTO WA DAR-ES- SALAAM HAPANA CHEZEA.

Saturday, April 09, 2011 5 Comments

Mamaa Halima mwanamke jicho bibi mashalah. Pam na shost yake.
Fatma mama ya marekani kwa sasa bongo dsm.
Pam.
Unamkumbuka mwanadashost Sinta,Dida.
Salma Mziray,Dida.
Mashostito.


Mgongo wazi mie hoiiiiiii.
mhhhh isome.

Salma,mbonnie.

Fatma,Nasra mama ya Holland katikati.

5 comments:

 1. Mambo dida, naomba nikuambie rangi yako imeanza kurudi kizamani umependeza sana wewe na sinta tumlisahau jamani sasa akina fulani wasiichukue hiyo picha wakajifanya yao kuanza kumunanga Sinta kama miaka ilee

  kila heri dida

  ReplyDelete
 2. I love Sinta, duh nimefurahi kumuona tena, mrembo vilevile

  ReplyDelete
 3. Sinta kawapiga bao wote..............
  Sinta wa ukweeeeeeeeeeeeeee
  Mtoto hachuji
  Mungu amuweke

  ReplyDelete
 4. kuna sura nyingine kila kona zipo tumezichoka.Dida na Sinta mpo juu pendeza sana hongereni wapendwa.

  ReplyDelete
 5. SINTA UKO WAPI JAMANI UMEOLEWA? AU NAWE MAMA YA MAREKANI? ILA BADO I=UNA MVUTO VILEVILE BIBIE. JAPO MAGAZETI YALIKUCHAFUA MPAKA BAC. KAMA UMEOLEWA PIA HIVI VIJIWE VYA KINA DIDA SI VIZURI SANA KARIBIA WOTE HAPO WAMEACHIKA SO BE CAREFULL WITH THESE PEOPLE.

  ReplyDelete