JANA ILIKUWA BALAA NDANI YA CHICHII WALAI KWENYE KIBAO KATA CHA MTOTO WA MUJINI PENDO,MAMBO YALIKUWA MAZITO SITAKI NIKUCHOSHE USICHUNGULIE INGIA.

Saturday, April 09, 2011 9 Comments

Keki iliyoletwa na mbonnie masimba ilikuwa hivi. Shurti Bi harusi na matroni mipasuo chini ya goti mie nahema.
Kiuno anacho sina shaka shemejiiii.
Mbonnie akimchakachulie Bi harusi mtarajiwa kuhusu maana ya ile keki.
Pendo,Dida na dada wa shughuli Hawa mkamba chezea.

9 comments:

 1. mambo! naomba msinishangae kwani nataka kujua, eti KIBAO KATA madhumuni yake haswa nini? mimi nipo Dar hii ila kila mara naona picha za kibao kata lkn sielewi kabisa, plz mnieleweshe kwani sio wote walioko mjini tunajua. pia naomba msiniseme san kwani nawajua wachangiaji wa humu. na ikiwezekana naomba mnialike japo mara 1 nije nishuhudie
  RIDA

  ReplyDelete
 2. whwaooooo,pendez snaa

  ReplyDelete
 3. mmh! tupo wengi tusiojua kibao kata ni nini? anyway people r looking gud kwa kweli.. mi nimeipenda sana kocktail ring yako naweza pata wapi km hiyo? unayo dukani kwako?

  ReplyDelete
 4. Dida mi keki tu mamaa mboni hongera na mpishi wa hiyo keki imeleta maana halisi ya shughuli by wajina wako mama samira dar

  ReplyDelete
 5. mdau uliyetaka kujua koktal ring dukani zimekwisha ila ukihitaji nipigie kupitia simu yangu hapo kwenye blog karibu sana mpendwa.

  ReplyDelete
 6. Nasikia huyo binti wala hajachumbiwa!!! Yani tu Dada yake kaarange2 na shoga zake wakafanya hicho kibao kata. Jamani sijui tunakwenda wapi!! Haya watazamaji tupo!!!

  NB: Pendo ushauri wa bure mdogo wangu, Angalia sana mdogo wangu usije ukaja kujuta siku moja!

  ReplyDelete
 7. Labda waliamua tu kurudisha change zao baada ya kuchangia sana shughuli za watu,lakini kama ni kweli hajachumbiwa wala kutolewa mahari basi kajifukuzia wachumba mwenyewe. Au usikute anataka kuolewa na mume wa mtu.

  Lakini ukiangalia upande mwingine jinsi huyo "bi harusi" alivyoparama utajua tu, maana mwali wa ukweli hushikwa na haya na huzuni fulani hivi lakini huyu mwali kaparama. Mwali kigego!

  ReplyDelete
 8. NDOA YA PENDO LINI JAMANI????

  ReplyDelete
 9. wadada mnapenda kuwa busy nyie,hamna la kufanya?sasa kuijifanyia kibao kata nini zaidi?kazi mbona

  ReplyDelete