JANA NILIKARIBISHWA ATRIUMS JAMANI NI HOTEL YA KISASA,FIKA TU UKAJIONEE IPO AFRIKA SANA PALE UBAVUNI WA ZIZZOU FASHION BOFYA

Saturday, April 02, 2011 10 Comments

Nikiwa reception. Hii ni madhari ya rooms zilizopo karibu na swimming pool,Na unaweza hata ukaja week end na wanao wakaburudika ipasavyo. Napitwaje?
Nikajipumzisha.
Kama uonavyo mdau ni sehemu ya reception kiukweli ni pazuri mno,Pametulia usikii sauti za paka,panya wala mende kukatiza.
Kuna sehemu ya kupumzika kama hii kubadilishana mawazo na mimi ninavyopenda kulala peke yangu hasa week end napendelea kutoka hata nilale hotel kupumzisha akili pananifaa sana.
Huo ni mlango wa kuingia kwa room du yaani napagawa ukiingia humo unasahau shida za Dunia kwa usiku huo.

10 comments:

 1. Dida, naomba nikupe ushauri. Sijui tatizo ni kamera unayotumia au nini, ila picha zako quality yake ni mbaya mnooooo. Halafu ni ndogo size,huwezi kuzoom basi ni tafrani juu ya tafrani. Plz jaribu kutumia kamera nzuri na ya kisasa. Blog ni nzuri ila picha zako quality hazina kabisa. Ni mtazamo, nahisi na wengine wameshaliona hilo.

  ReplyDelete
 2. Bidada unakula raha tu naona loh itabidi nikija bongo nikutafute tuwe tunajirusha kiaina mnh mimi penda sana wewe dida mitikisiko ,miss u sana tu

  ReplyDelete
 3. nakuona mdada full kufagilia... hahah hallo!!! mwanamke tako bibi reception hata guest house ipo... wajibebe mwaka huu!!!

  ReplyDelete
 4. nashukuru sana mdau kuhusu camera nimeshaagiza nyingine soon utafurahi ahsante sana na nimeliona hilo.

  ReplyDelete
 5. dida nakupenda sana ila nakuomba upunguze kujichubua jamani mpaka unakuwa kama umepaka chokaa jamani kwanini mbona wewe nidada mzuri sana bila kujichubua dida unamtoto mzuri Mungu kakupa nakai yako nzuri unabiashara yako jamani achana na mkorogo mpendwa unisamehe kama nimekukwaza ila kwa faida yako na mwanao,bado mdgo anakutegemea anakupenda saana pia .nakupenda ubarikiwe ,ni ushauri tuu nakupa,mimi mdau sweden.

  ReplyDelete
 6. NASHUKURU SANA MDAU KUTOKA SWEDEN KWA USHAURI WAKO TATIZO LINAKUJA BONGO JOTO SANA JAMANI HATA UKIPAKA LOTION LZM UTANG"AA TOFAUTI NA NYIE KIDOGO NCHI MLIZOPO BARIDI SIJICHUBUI BALI NAPAKA VITU VYA GEL VINANIFANYA NAWAKA TU BALI NASHUKURU KWA USHAURI UNAWEZA ONA UNAPENDEZA KUMBE UNAHARIBIKA NASHUKURU NITAJIREKEBISHA KWA HILO.

  ReplyDelete
 7. Dida kweli mdau hapo juu kasema kweli, yaani wewe ni mzuri sana ila mamikorogo yanaharibu. Sio siri yanakufanya unaonekana cheap. Hebu acha kupaka hizo product ubadili upake hizi lotion za kawaida zisizo na hydroquinone au white thing! kweli hupendezi. Halafu yanakuzeesha. Kama tatizo ni product si upake hata dove? sio lazima kupaka hizo za sijui clear white, etc ndio zinazoharibu mvuto wako

  ReplyDelete
 8. Mtoto tako hilo siku nikilipata we acha nitafumua chemba zote. Chemba ya kwanza ni majitaka na majisafi

  ReplyDelete
 9. Umependeza sana, salam kwa binti yetu alafu hujamrusha siku nyingi..i miss her she's cute

  ReplyDelete
 10. dida usikubali kurusha post zote as wengine wanaandika mambo yanayokuvunjia heshima..bila hata aibu kama huyo aliyezungumzia chemba...au ww umefurahishwa na alichosema???tuwe na adabu jamani vitu vingine vibaki ktk mind zenu tu si lazima kuandika kila ukiwazacho..ndo maana ukaitwa mwanadamu mwenye utashi.dida,think about this.

  ReplyDelete