KAZI ILIKUWA NI MOJA TU SIKU YA JANA NI NYONGA ZISIZOCHAKACHULIWA,NA MADILA YALITAWALA KTK KIBAO KATA CHA MWANA DAR-ES-SALAAM MAMAA SASHA BOFYA.

Monday, March 28, 2011 7 Comments

Mama Sasha akijimwaya mwaya alipendezaje? Fatma mamaa ya marekani kwa sasa bongo kwa muda akiwa na Dida mwanamboka,Shamim zeze.
Jiachie kuna wengi wanatamani kuolewa mpk leo wanazeekea makwao,na wengine wanajivalisha pete za ndoa waonekane wameolewa nyanyua mikono mshukuru mungu jiachie kwa raha zako. Shurti kwa madila napitwaje.
Ni vijimambo tu.
Mwanamke dila hasa likikukaa.
Kabla sijalitinga dila.
Mamaa mary kalala mwanamke mvuto hasa ukiwa nao.
Vikuku mmeviona?
Hapana chezea.
Kanipa mama kiuno.

Pinda mugongo mamaa lulu.


Kwa raha zenu mnapumua bila ushuru.

7 comments:

  1. congrats Farida wishing you all the best girl

    ReplyDelete
  2. ilikuwa safi sana ongera sana mdada

    ReplyDelete
  3. next time weka video na siyo still picture mnatunyima uhondo wa mauno

    ReplyDelete
  4. Dida hongera mdada kwa kutuwekea picha, ila mimi tatizo langu liko kwenye picha unazopiga yaani camera yako inatoa picha zilizopauka sana, yaani ile raha ya picha inakosekana, Sisemi kwa ubaya ila jaribu kuangalia kwa makini utaona pls change the camera.

    Wako mpenda maendeleo yako.

    ReplyDelete
  5. ahsante mdau nitalifanyia kazi swala la camera nashukuru sana.

    ReplyDelete
  6. Jamani wanawake Tanzania, tuweke vipodozi kidogo kwenye uso, kila mtu kwenye picha ni kama amechorwa!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. Kwani punch ina adabu saa zote hizo inakutunzia tu make up yako?!!!!!!!

    ReplyDelete