Most Popular Posts
- AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
- HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
- SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
- WADAU KWELI MIMI NI MTU MZIMA WALA SI KIPANDE NA SIJAFIKIA UTU UZIMA UOOOO SABABU SICHAMBII PANGA WALA SIPIGI DANADANA KWA MAKALIO,ILA NAPENDA NIWATOE HOFU NYIE MNAOJIFANYA MNANIJUA SANA KULIKO MAMA YANGU MZAZI NI HIVI NAMTAJA LIVE SABABU ANAJUA SIMUHOFII WALA SIMUOGOPI NA SINA SHARI NAE ILA AKIITAKA KWANGU ATAINUNUA KWA BEI RAHISI BILA YA VAT,SINTA NAKUTAJA NA NAJUA HUWEZI CHAMBANA NA MIMI HATA ROBO MAANA NITAKUPA UMAARUFU WA MUDA MCHACHE MAANA HATA WA KUTATIZA KATIKATI YA MSAFARA WA RAISI UTACHUKUA MUDA,NYIE MNAOSEMA NAMUOGOPA SINTA ANALIJUA ILO KUWA SIMUOGOPI HATA KIDOGO NA NIKITAKA KUCHAMBANA NAE SI HUMU NAMTAFUTA KWA GHARAMA ZANGU TUCHAMBANE FACE TO FACE KWA HIYO SINTA FANYA YAKO ANDIKA YAKO UMO KWENYE BLOG YAKO KWELI MIMI MTOTO WA KISWAHILI SINA UZUNGU HATA ROBO ILA UKINICHOKONOA UTAJUA KAMA MIMI MZUNGU AU MZARAMU NYIE WAZUNGU ENDELEENI NA UZUNGU WENU KWANGU NDIO KWANZA MKOKO UMEALIKA MAUA,KUMBUKENI MATUSI YENU HAYANITOI KOPE NDIO KWANZA ZIMENISIMAMA KAMA KIBANDA CHA SIMU.
- HII NI KWA WANAWAKE WENZANGU WENYE WATOTO,MTOTO WAKO AKIFIKISHA UMRI WA MIAKA MINNE MPE MAZIWA YA NIDO NIAMINI.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
- MY WEDDING DAY....
- Uzinduzi wa AIBU YAO AIBU YETU ya Hassan Ally, ulivyofana Vatican city Sinza
- NAWASHUKURU WOTE MADADA NA MARAFIKI ZANGU WOTE MLIOHUDHURIA KWENYE KITCHENPART YA DADA YANGU ALIYE NILEA TANGU MDOGO NAWASHUKURU SANA.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
Mlipendeza Dida ila kitu kimoja huna weaving lingine, maana hilo lease weage tumeshalichoka kila picha yako na lease weage tafuta weaving lingine bwana...........
ReplyDeleteMbona yako chungu mzima au kama vipi nywele zako tuzione...
Ushauri
Hongera sisy Eliza,jamani dida mbona sijamuona Indirghandi Urio na Suzy Urio,maimartha duuuuu nimekumbuka mbali enzi za skul KIGURUNYEMBE,Chekzeaaaaaaaa.
ReplyDeleteAmina Zangira.
Malaya wote nyie...............
ReplyDeleteHuyo babu wa kizungu ana kazi, mtoto mbichi hope atakuwa akisaidiwa na vijana, siyo issue sana USD ndio zinazoongea.
ReplyDeletehivi dida kwanini hutafuti poda inayofanana na ngozi yako,yani hiyo poda unayopaka sikuzote haifanani na rangi yako kabisa uso unakua kama kiambaza tofauti na mwili wako unavyoonekana kwenye picha,halafu eti wewe mfanya biashara unasafiri kila siku wakati huko unakokwenda ndio mwao lakini bado unapaka poda mbovu haiendani na wewe,au inawezekana unanunua poda nzuri tu na expensive ila hujui namba yako,nenda AMON au maduka yoyote makubwa watakufahamisha namba yako au hata ukimfata shamim zeze atakutafutia kila siku anazitangazia kwenye web yake,utapata namba yako bishost.
ReplyDeletenashuuru mdau usijali nitajitahidi kutafuta hizo poda rangi yangu usisite kuniambia chochote.
ReplyDeleteDida umenifurahisha sana kumbe wewe si mshari kama manungayembe mtu kakupa ushauri mwenyewe umeuchukua bila hata kuponda,wangekua wengne wangesemaa kutwa nzima big up mama samira! Umenchekesha neno WAKILISHANA KWA HABA ZITO! Mwaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh
ReplyDeletenimekupenda wajina hayo ndo mambo umeambiwa na umekubali unajua majina haya huwa hatupendi maneno dear big up mamii..
ReplyDeletedida umeolewa
ReplyDeletemhhh kama wazungu wenyewe tunaoolewa nao ndio hivi..aaah bora niolewe na mswahili tu..mbona kachoka hivi...uso umemshupaa utasema Mthungu maskini
ReplyDeleteYaani huyo mdhungu nahisi ana kansa mbona nywele kwishney au ndo umri.
ReplyDeleteahahahahah jamani wachangiaji mbona kuntuuu, ahahah eti ana kansa, , eti kibabu, mwenzako hapo anajari mshiko tu, alafu kujidaiiiiiiiiiiii kwa sana mbele ya wenzake kuwa ana pesa, mambo ya vibabu vizungu hivyo, ahahah, na kanavyojishaua hako kadada nilijua kana jamaa handsomeboy, leo mi choka kabisa,
ReplyDeletemchangiaji wa juu inaelekea unamjua sana huyu dada,ukweli wacha nife na umaskini wangu, lakini kibabu kama iko , mmmh, alafu vinanukaga hivi vizee vya kizungu, yaani wana harufu kama edhi ya mwanamke iliyokaa siku 5, loooh yataka moyo kukisi, bora, babu wa kiswahili harufu yake, ahahahahah.weka picha za kibao kata basi Dida mpenzi, au ukwenda, maana mashauzi yalizidi kwa eliza oooh nitafanya hiki na kile. honeymoon nitaenda marekani kumbe kibabu kiko kampuni ya K.K SECURITY...ahahahah sitaki mie, ...dida ndio maana nakupenda,lete mambo mama usiye na makuuu, mungu akuweke.
ReplyDeletelakini kweli hicho kibabu noma hata kama yaani inaonyesha hapo mapenzi hakuna ni mshiko tu kwa kwenda mbele.loooooooooooh kazi kweli kweli nawe unajisifu umeolewa na mzungu!puuh!!!!!!!!!!
ReplyDeletewe unamjua eliza unamsikia, mzungu hapo ni mshiko tu, ana kakijana fulani kadogo kanaitwa Ashraf anatembea nako kwenye gari kila siku anajifanya ni dereva wake, ndio bwanake, maana mzungu aisimami vema, kwahiyo kijana anamsaidia kukaza buti ahahahahah, chezea wasichana wa bongo, hasa waliojifanyaga mamiss, mhh
ReplyDelete