CHEZEA YANGA,MNYAMA ALMANUSURA.

Sunday, March 06, 2011 4 Comments

Mambo kama unavyoyaona.
Chezeyaaaaaa.
Yanga daima mbele.
Mamaa fetty mshabiki nambari moja wa Jerry Tegete.
Yanga oyeee wapi zai,hadija.Yanga woyeeeeeee.
Yanga inavutiaje?

4 comments:

 1. nimeupenda huo mwamvuli dada naomba kama una sehemu wanauza nifahamishe natanguliza shukurani

  ReplyDelete
 2. Kwa mwamvuli gani na wewe? Wanavaa wamachinga wanajiziba jua yeye kwake fashion. usilolijua sawa na usiku wa giza. Na kipedo chako cha mia tano. Ngoja nikufundishe kuvaa couse wewe huna shape then mfupi. Ungevaa jeans na tisheti yako na visimple usirudie tena kutuvalia kama watu wa .....huna jipya

  ReplyDelete
 3. Ubingwa mtausikia kwenye bomba.......
  Mnyama anatisha
  Mlikosea siku ile mlimuhonga refa mkasahau kumwonga mshika kibendera....
  Mmezoea kubebwa safari hii imekula kwenu
  Simba oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
  Yanga ziiiiiiiiiiiiiiiiiii
  Mshindi wa kwanza SIMBA.....WA PILI AZAMA.......
  WA TATU LABDA NYIE....
  Wapi wazee wa DROOOOOOOOOOOOO
  Acha kuhama hama timu basi au ndiyo nyie itakayoshinda ndiyo timu yangu?

  ReplyDelete
 4. sasa kwani miavuli kuuzwa na wamachinga vinahusiana nini na mtu kuupenda mwavuli?? unajua siku nyingi nasoma maoni hapa nikajaribu sana pia kumsihi dida aache kulumbana na haters...lakini leo wewe uliyechangia kwamba eti mwamvuli unauzwa na mmachinga tu umenigusa panapo..so what? tuseme mwenzetu unafanya shopping magharibi au wapi? ndo nyie watumwa wa vya wenzenu..charity begins at home bibi..lol! umeboaaaaaaaaaaaa...inaelekea wewe limbukeni tu.......OVYOOOOOOOOOOOOO.Dida sikujua wewe ni mwana yanga...mie mwenyewe Yanga dam...die hard fanatic ukitaka....mnyama hanistui. wera wera.....nchi huru hii bibi....Doreen, Mikocheni

  ReplyDelete