JANA BWANA ILIKUWA BIRTHDAY YA MTOTO WANGU,SASA SISI WA MAMA TUNAJIFANYA TUPO BIZE KAMA WAUZA GONGO TUNAKWEPA POLISI,HUWA TUNARAHISISHA KI HIVI.

Sunday, March 06, 2011 17 Comments

Ndo hivyo usimuuzi mtoto nilikimbiaje kuisaka.
Akawa anaitazama.
Baada ya kuridhika mikogo ikaanzaje.
Akaniambie nipige nimekaa hapa nikamwambia mwanangu hupajui mjini subiri tutachabwajwe?haikuwa na jinsi.
Mhhh haya bwana po kwa ajili yangu.
Tulikumbatiana kumaliza tofauti zetu maana niinunue.
Tukalishana usiku huo.
Kama kawa.


Namuomba mwenyezi ampe maisha marefu nakupenda na nitakujali hata usiku wa manane ananifariji sana aisee happy birthday samiraaaa.

17 comments:

 1. Happy birthday Samira, Mungu akulinde mpenzi

  ReplyDelete
 2. Mmependeza mama na mwana Mungu akukuzie, Happy Birthday Mtoto mzuri. mwaaaaaah

  ReplyDelete
 3. Happy belated birthday Samira, hongera mamii umekuza, ntaiga na mimi staili yako tusherehekee sie wawili (mie na binti yangu tu )so lovely

  ReplyDelete
 4. Ingenoga zaidi kama dadiye nae angelishwa keki!! hahahaaaaa!

  ReplyDelete
 5. We mswahili hili yaan shule kwak ni utata inaonekana

  ReplyDelete
 6. HAPPY BIRTHDAY SAMIRA. Msuko wa Samira bomba kichizi.

  ReplyDelete
 7. happy birthday to youu sameera
  jamani mekuza kweli m mungu amfanye mtoto mzuri apende wazazi na nduguze jamani sasa picha za birthday zi wapi yani mlikuwa wawili tu
  na mashosti wake jeeeeeeeeeeee naye zamu yake tumuone na mashosti wake hahahah kweye red carpet

  kishunaaa

  ReplyDelete
 8. nashukuru sana mdau ilikuwa usiku mama we ikabidi nimridhishe tukiwa wawili ila kama ulivyosema awe na wenzie ishallah nitafanya hivyo na nashukuru kwa dua zenu na kuhusu kuwa na dady wake mie mwenyewe nina fit kote kote s unajua ma dady wa mjini ndo vile ila nayafurahia maisha nikiwa na samy wangu kiukweli haina haja ya dady wala didy.

  ReplyDelete
 9. safi mdada madady ckuhizi michosho kama unaweza kusimama sehemu zote fanya mwanamke kujiamini. Nakupenda dida

  ReplyDelete
 10. safi mpiganaji wewe jembe umesimama kwa maisha yako mungu akukuzie mwanao wewe ni mpiganaji acha wenzio waumie ila hawakuwezi wanamaliza maneno na atakupa tuwekee swagga za nyumbani kwako pls wewe utabaki kuwa wewe nakupenda sana big up.

  ReplyDelete
 11. Hap B`day Samira Mungu akuzawadie upendo, hekima, busara, subira na unyenyekevu, na Mungu akujaze akili upate kufaulu vyema katika masomo na maisha.
  Dady wa hiyari
  mduduvule manyoya
  mduduvule@yahoo.com

  ReplyDelete
 12. WE ANONY ULIYESEMA HAMNA SHULE KABISA ACHA WIVU BWANA! MTU KAMLETEA CAKE YA BIRTHDAY MWANAE SHULE INAHUSIKAJE HAPO? MJINI KUNA MAMBO JAMANI POLENI WA MJINI!
  MDAU WA ATAUN!

  ReplyDelete
 13. Kama shule hamna asiambiwe mtoto mdogo ukamwekee movie za akina RAY na KANUMBA.
  Huyo mtoto mwenyewe sina uhakika kama anasoma?
  Anamfundisha ushangingi

  ReplyDelete
 14. wewe ndio babake mzazi mungu atakupa wewe mtoto shangingi uso umekuparama kama mbuzi wa hitima kwa kuyata yangu kwa taarifa yako nimekuacha mbali huna jipya wewe hutoambulia langu msungo.

  ReplyDelete
 15. Dida, Nice surprise to your kid..but kwanini umeweka cake chini jamani?next time weka hata kwenye kiti/stuli kama dining table haipo.

  BIG UP TO UR KID AND TO URSELF!

  ReplyDelete
 16. WOW..Da dida hongera,ckujua kama una mtoto,mungu akutangulie katika kumlea vizuri..!

  ReplyDelete
 17. DIDA WE NI NOMA SAFI SANA ULIVOMCHAMBA HUYO MTU,NIMEPENDA NTUMBANI KWAKO KUNA BAADHI YA MASTAA UKIENDA KWAO HUTOAMINI KAMA NDO UNAOWAONA KATIKA MATV.ILA NAKUSHAURI KAMA HUTO JALI BADILI MAPAZIA WEKA YALE YENYE SHEAR,OTHERWISE UPO JUU MAMA.

  ReplyDelete