KILA IFIKAPO MWISHO WA MWEZI TIMES FM NI FULL BATA NA VILE VILE NI UNAKUWA NI MWEZI WA MA SUPRISE KIBAO IKIAMBATANA NA USIKU WA KUZALIWA WAJA.

Wednesday, March 02, 2011 0 Comments

Ilikuwa ni keki yenye mfano wa timu mbili CHELSEA NA MANCHESTER Kutokana na Big boss Rehule kuwa chelsea na Scolastica mazula kuwa MAN U Balaa.
Zilikatwa kama kawa na bata likaendelea usiku mnene.

0 comments: