WADAU NINAELEKEA NJE YA NCHI KIDOGO,NITAWAPOSTIA PICHA NIKIWA HUKO NIENDAKO ISHALLAH TUOMBEANE UZIMA.NITAWAMISS KWA WIKI MBILI ILA MTAPATA MAMBOOOZ.

Saturday, December 04, 2010 5 Comments


5 comments:

 1. kama kawa kama dawa mwanamke mtafutaji safisana mamii uende salama urudi salama usisahau kutopostia yanayojiri.

  Amina Zangira

  ReplyDelete
 2. Safari njema Dida, na usisahau kununua viatu vyengine, maana sasa hivyo vimekua kauka nkuvae, kila picha ukianda nje unavyo, Inshallah Mungu atakupa hela.

  ReplyDelete
 3. anon hiyo picha ya ivyo viatu vya dida ni ya kipindi kile alipokuwa greece kha mwacheni mwenzenu ameshajaaliwa hammuwezi kusema si dawa mwenzenu anatenda vitendo safi sana dida tunakutakia safari njema mama ya ulaya kama unaenda ilala.

  ReplyDelete
 4. Haya tunakutakia kila la kheri uende salama na urudi salama Bongo,pia usisahau kututumia hayo mambooz!tunayasubiri kwa hamu,big up mama wa mitikisiko,ingawa upo safarini lkn tunaona kama tupo nawe ndani ya Bongo.

  ReplyDelete
 5. safari njema mama ila ukiludi uje na mali mpya hapo dukani kwako na pia usisahau kutuwekea vitu vya dukani kwako humu kwenye hii blog yako. mungu atakulinda na kila baya utaludi salama dada kwani unaenda kwa ajili ya maisha yako sio kwenda kumloga mtu, inshallah utaludi salama

  ReplyDelete