USIKU WA SAFARI YANGU WADAU,BAADA YA KUFIKA AIRPORT TUKAOMBWA RADHI KUWA NDEGE TULIYOTAKIWA KUSAFIRI NAYO ILIKUWA INAMSAFARA MAALUM.

Tuesday, December 07, 2010 8 Comments

Ndipo tukapewa usafiri wa swissport likatupeleka moja kwa moja kulala golden tulip ili kusubiri usafiri wa kesho yake.
Ulikuwa usiku mnene hatukuwa na cha kufanya bali ni kupumzika.
Mandhali ya golden tulip.
Room ambayo nilipewa kwa nje mandhali yake nikaamua kujimulika mhhhhhh.
Nilijiachia kwenye iyo double bed nikasahau shida za dunia.

8 comments:

 1. na pia tungependa kujua unaelekea wapi yani nchi gani ili tuumie vizuri siye tusiokupenda

  ReplyDelete
 2. umeanza ushamba wako shost

  ReplyDelete
 3. Ni Golden Tulip na sio Golden Turip!

  ReplyDelete
 4. hivi aweke vitu vya babako kwenye blog yake dida jiachiee babu na unajua kuwachoma na umechomeka wewe unayemuita mwenzio mshamba mwenzio transit dubai anakutana na watu wa kila aina wewe transit yako msamvu kama anavyosema dida mwenyewe acheni choyo aliyepewa kapewa safari njema mamii kila lakheri huna roho mbaya ndio maana mungu anakufungulia,

  ReplyDelete
 5. safari njema mamii tuletee vitu kama kawaida yako mungu akutangulie dida hauna roho mbaya ndio maana mungu anakupa.

  ReplyDelete
 6. umeanza ushamba wako.

  ReplyDelete
 7. shost nakupendea hapo huna makuu unasema ukweli wako, sio ushamba na ujinga wa kujikuza kama watakavyo watu akuuh mwana wa watu endelea na sstyle yako u rock

  ReplyDelete
 8. wewe mwenzio ana bahati wacha ufala wa kumwambia mshamba anapowaumiza ni hapo tu ulaya kama anaenda ilala unataka aweke picha za babako na wakati blog yake jifarague dida kwa raha zako unawachomaje wavimba macho tunakutakia safari njema kama umnavyosema transit yao msamvu kwa mganga wewe transit dubai unakutana na wafanyabiashara wakubwa utarudi salama ishallah.

  ReplyDelete