NAMSHUKURU MUNGU TAMASHA LA MITIKISIKO YA PWANI LIMEISHA SALAMA,NI BAADHI YA MATUKIO WADAU MENGINE MTAYAPATA.

Saturday, December 04, 2010 1 Comments

Bi afua suleman akifanya makamuzi na bendi yake ya east africa melody.
ALLY J mpiga kinanda wa five stars akikisugua vyema.

Vimini navyo vilikuwepo.
Mwanamke mvuto si mwingine Bi kidude akitumwagia mambo.
Mwanamke kilemba hasa kikikukaa.
Aliyeweka swagga za pwani alipata zawadi toka oryx jiko safi kabisa.
Mc dida.
Mfalme mzee yusuph akifungua kwa wimbo alioutunga kuhusu kipindi cha mitikisiko ya pwani.

Mzee chapuo ndani ya swagga.
MA MC DIDA NA SHEIZA.
MHHHHH.
Sheiza taarab ilimkolea.

Nilipowasiri ndani ya diamond jubilee.
Scolastica mazura alipowasiri yeye ndiye msimamizi wa shoo nzima.

1 comment: