NIMETEMBELEA MADUKA YANAUZA CHENI SI DHAHABU LKN SI KAMA WABONGO TUNAUZIANA MABOROKA HATUAMBIANI UKWELI,MWISHO WA SIKU TUNACHUBUANA SHINGO.

Tuesday, December 07, 2010 3 Comments

Baadhi ya cheni sio dhahabu ila ukiingia wanakwambia ukweli kuivaa kwa muda gani ila mswahili na hela anakudanganya miaka miwili ukilowa jasho tu bati tena lenye kutu.
Duka la miwani na wenyewe wa kweli wanakutazama inaendana na wewe ila sie kudanganyana umependeza ukitoka watu wanakuona kama mchomelea mageti,au daktari wa meno.

3 comments:

  1. Dida mi hapo ndo sikuelewi kabisa, mkikosolewa na watu humu wakisema ukweli kama mtu hajapendeza na make up unawachamba, leo hii nije kukwambia miwani haijakupendeza wewe si utamtafuta hadija kopa halafu ukamsute huyo mtu Diamond Jubilee!!???LOL ndo maana unadanganywa kwa sababu umeshaonyeshaga kutopenda kukosolewa.

    Na bado utadanganywa sana labda ubadilike.

    ReplyDelete
  2. Ulipitia kwenye Boloka ili uje kututsha nazo huku? Tatzo lako kubwa ushamba, mara nmenunua gari, mara naenda Dubai, mbona ukienda kwenu msambweni sijui samvula chole hutuwekei picha? kaone kwanza

    ReplyDelete
  3. Teh teh teh duuuuh!maneno kuntuuu wanpa raha!!!!

    ReplyDelete