NILITEMBELEA DUKA LINALOUZA RABA ZENYE NEMBO YA ADIDAS,FAHARI YA MACHO KUONA.

Tuesday, December 07, 2010 1 CommentsMambo yenyewe ndio hayo humo no discount.
Hapa pananiongeza kilo jamani nahisi diet imeishia humu ndani ya mgahawa.
Wakati wa kuitwa mama mkubwa umefika maana humu napo kiboko ukipaona kwa nje lzm uingie ukaagize nitajua baadae jinsi ya kuupunguza acha nivifaidi.

1 comment:

  1. huko nchi gani shostito?? mbona umesahau kutuabalisha fans wako

    ReplyDelete