ASALAAM ALEIKUM WADAU NAMSHUKURU MUNGU NIMERUDI SALAMA,TUPO PAMOJA BAADHI TU YA SEHEMU NILIZOKUWEPONA SASA HIVI NI BARIDI SANA KWENYE NCHI ZA WENZETU.

Wednesday, December 15, 2010 1 Comments

Nilikutana na mbongo mwenzangu mfanya biashara wa Arusha inakuwa mzuka sana.
Nilitupia kidogo ingawa ilikuwa ikinipiga miguuni kazi kweli kweli.

Nilitembelea mji mwingine mambo ya christmas yaleyale.


Kushangaa kupo.

Niligeuka issa mnally.

Ugonjwa wangu.Supermarket za wenzetu.

Jamani ugonjwa wa wengi maua.

Hii ni sehemu yenye magorofa pacha kama yale yaliyolipuliwa marekani.

Nilipapenda sikuwa na la ziada.

Unaweza ukawa na ndoto la kulinunua.

Bongo ukiwa angani hapo sijui vigwaza?

1 comment:

  1. Aaaaah! dida uwachi mashauzi yamekuzidi tena kila unapokwenda lazima unawarusha roho wenzio aaah taratibu - tunashukuru umerudi salaama huko ulikokuwa rete rahaaaaaaaaa

    mdau
    Europe spain

    ReplyDelete