KWA SASA RADIO TIMES FM TUPO CHIMBO WADAU KWA KUJIANDAA NA MAMBO MAPYA YA 2011 MUNGU AKIPENDA.

Friday, December 17, 2010 1 Comments

Tunamshukuru mwenyezi Mungu kwa kutufikisha hapa, kwa sasa tunatoa tu burudani kupitia radio Times fm 100.5 hadi tarehe 10 January 2011 tutakaporudi tena hewani.
Tupo chimbo kujifuaa najua mnamiss saaaana maneno na vijimambo ila inshallah mambo yote yanakuja soon na kwa wale wote walioniomba niwe nawawekea walau nyimbo za taarab waweze kuburudika walio nje ya Tanzania nitaanza kuwawekea kupitia blog yenu ya Mitikisiko na msisite kuomba kuwekewa habari, na mambo gani mnayataka, kwa raha zenu kwani hiki ndio kisima cha burudani za Pwani.
Blog yako ya Mitikisiko ya Pwani wish you
MERRY XMASS AND HAPPY NEW YEAR

1 comment:

  1. SHOSTITO NDIO NAFUNGUA BLOG SAA HIZI NIMELEWAJE?MMEJICHANA ILA DINA KAMA KAPUNGUA KIDOGO DIDA NA WEWE MBONA UMEKUWA NA COLOUR NZURI YA CHOCOLATE SHOGA TUAMBIANE.USIPAKE MAVITU UNA RANGI NZURI SANA ACHA NA HAO WANAOJICHAKACHUA KWA MAFUTA YA BETRI.PATRA SHY TOWN

    ReplyDelete