ONE PLUS WADAU WA TUZO ZA KILL MUSIC AWARDS WALITUKUTANISHA BAADHI YA WATANGAZAJI WA VITUO MBALI MBALI KTK OFISI ZAO MIKOCHENI.

Monday, December 20, 2010 0 Comments

Dida,mishi ktkt na salma msangi wao kutoka magic fm na channel ten.
Dida na gadna aliyekuwa mtangazaji wa clouds fm.
Salma msangi na dj Dizzo one kutoka magic fm.
Dativas Mango kushoto.
Kushoto Dulla wa planet bongo Eatv na Dj Tass.
Mussa wa uswazi,Dida times fm na Dina marios kutoka clouds Fm.
Menu pale kati ilihusika diet baadae.

0 comments: