HII NI KWA WANAUME WOTE NDANI NA NJE YA TANZANIA,KILA KIN'GAACHO SI DHAHABU VINGINE SHABA KUNTU MAUMBILE.

Tuesday, December 21, 2010 9 Comments

Imefikia hatua wanaume wakionacho macho yanawatoka kama wanatunga uzi gizani na huwa najiuliza kwa niwengi hawajui thamani ya wake zao na hata ma girlfriend zao waliotoka nao muda mrefu kila ni inafikia wanakuwa na wanawake wengine ilhali walituchagua wenyewe mkumbuke tu msemo mmoja kuwa mtamaliza mabucha na nyama ile ile,Imefikia hatua sasa kwa jisi dunia ilivyobadilika wanawake wengine wameona bora wazae bila kuolewa na kuendelea na maisha yao sababu maudhi yamezidi.Inafikia hatua mume au boyfriend uliyekuwa nae anatembea na rafiki yako na bado mnaendelea kukuaa wote, Kula na kunywa mkimn'gong'a mwenzenu pasipo kujijua acheni hizo kama unaona mwanamke uliyenae hakufai ulimtongozea nini?na sie wanawake tusijirahisi kuwakubali mabwana na hata waume wawenzenu unda chako utumie usingoje wenzio wakuundie ujinyakulie kiulaini kama paka wa hotelini, Na mlio kwenye ndoa zenu msitoke tulio nje tuongeze tamu nasi tuolewe,na kumbuka mume wa mwenzio wa mwenzio wewe utafanywa dispossable utupwe, Na utamsubiri sana uchochoroni wa mwenzio ung'atwe na mbu mpaka utokwe @yahoo.com.Na usikubali msemo kama wakwako mtamu jua watu watakutafunia,nafikiri ujumbe umefika mie bado nipo nipo sana ni kwa wale wenye ndoa zao inawahusu.Siyo kila king'aacho ni dhahabu vingine shaba kuntu maumbile ukiipenda itengenezee flame habari ndio hiyoooooo.

9 comments:

 1. Unanifurahisha na matonge unayowapa maana si vidonge,matonge ya ugali mamii!Sawasawa na watang'atwa sana na mbu vichochoroni mi nimeolewa Dida ila namshukuru Mungu mume wangu yuko tight na mimi kinoma na sio siri mambo mazito nampa kudadeki zake ananipenda kishenzi na anani-show off everywhere we go maana nami si haba!Thnx dida.Wape wape!xoxo.Maggy

  ReplyDelete
 2. Unaandika kama unongea, hahhaaa/ Well ni kweli usione vyaelewa vimeundwa, lakini mmmh, usivieleshe kwa njama za kutamanisha kwani mtego wa panya unaweza ukanasa hata sio panya...shaurilo!

  ReplyDelete
 3. ilo nalo neno mwana chezea wewe hapo ndipo huwa pananifanya niipende blog yako uogopi lolote unatusaidia na sisi tusiokuwa na pakusemea big up dida chimbua mpaka mizizi ha haaaaaaaaa unanifurahisha sana nikija bongo nakutafuta.

  ReplyDelete
 4. dida na kila king'aancho sio dhahabu kwa akina dada. kuna wale waume wanao piga na kuwanyonya wake zao. mwanaumw una faida gani kama una fanya hayo. kazi ya waume ni kuwa linda wake zao but instead, wanawake ndio wanaojilinda from waume zao. wanaume, jueni kazi zenu and be a man. wnawake tunaweza kufanya majukumu za wanaume and we can be better, lakini tunawapa chance wakina baba ili mstep up. dida dadangu, please post this for all the men

  ReplyDelete
 5. he wewe si ndo ulikuwa unataka kuolewa mke wa sita na mzee yusuf kikowapi tena?

  ReplyDelete
 6. Mume wa mwenzio kizuka tu!
  akizuka zuka nayeee!

  ReplyDelete
 7. nikujibu maana nikikaa kimya utanipanda sifikiri kama nina ulimbukeni sana kwa wanaume na mzuka wangu hauko kwa staa yoyote wa kiume na type ya mwanaume nimtakae asiwe maarufu mzee yusufu ni kikazi tu na si vinginevyo kama wazuaji walivyozoea kuzua na hilo wakalizua habari ndio hiyo mdau

  ReplyDelete
 8. Mimi wala halinishughulishi hilo Dida Mla uliwa,sashivi anajitia huzuni ya bureeee!Halooooo kula uliwe,haipunguzi machungu ila inajenga heshima ndani ya mahusiano!wtajibeba wanaume mwaka huuuu

  ReplyDelete