USTAA KAZI SANA PATA HII NILIJUA BONGO TU KUMBE HATA KULEEEEEEE?

Friday, December 24, 2010 2 Comments

Ini edo na mumewe siku ya ndoa yao.
Hakuna mfuatiliaji yoyote wa filamu asimjue mwanadada muigiza filamu maarufu nigeria INI EDO ambaye amefunga ndoa na mfanyabiashara maarufu nchini marekani si mwingine Ehiagwina,Mwanadada huyo amekumbwa na kashfa nzito ambazo ZIMEMUUDHI MUMEWE kumuanika huku akijua Ini edo ni mke wa mtu kwa sasa, ktk vitu ambavyo mwandishi huyo ameviorodhesha ni USAGAJI,UVUTAJI SIGARA,NA MLEVI KUPITA KIASI. lakini mumewe amesimama kidete kumshtaki mwandishi huyo kuhusiana na tuhuma hizo,Bora yeye Ini edo ana mume wa kumtetea na kuonyesha msimamo wake kwa mkewe je kwa wale wasiokuwa na watetezi unachafuliwa kiasi gani na jamii inakuchukuliaje?Ni mtazamo tu ila USTAA SI JALALA KILA UCHAFU KUWATUPIA WENZENU BALI ANGALIENI NA UTU KIDOGO UNAPOMCHAFUA MTU NA AMEOA AU KUOLEWA UNAMJENGEA MAZINGIRA GANI KTK JAMII?MSICHUKULIE POA KIIVYO WATU WANA MOYO HAWANA JIWE,NAMPA BIG UP MUME WA INI EDO KWA MSIMAMO WAKE NA KUHAKIKISHA MKEWE YUKO MIKONONI MWAKE MSIWAPE NAFASI MAADUI KUPENYEZA MAJUNGU YAO.NI MTAZAMO TU.

2 comments:

  1. Dida swafiii leo umekolezea na mastory ma wacheza filamu maarufu imenoga hiyoooooooooo

    ReplyDelete