NAMSHUKURU MUNGU JAMANI MIAKA INASOGEA NA UZEE UNANINYEMELEA.




Monday, October 25, 2010 13 Comments
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
© Copyright DIDA MITIKISIKO Developed by MKCT
Jamani umependeza mwaya, umetoka simple kweli,
ReplyDeleteMUNGU AKUBARIKI, AZIDI KUKUKUZA, AKUJALIE YOTE MAZURI, NA AKUEPUSHE NA MAOVU, HAPPY BIRTHDAY MPENDWA
cheka na watu uvae viatu kuishi na watu vizuri inaleta raha si umeonasuprise hiyo.chezzzzzea big up
ReplyDeleteAmina Zangira
Hongera.
ReplyDeleteSalaam kwa HR Helen Mnzava na Amina Singo. Pia nimeona mtu kama Aluta Warioba kwa mbaaali. Ndiye ama?
Baraka kwenu
Tehe teheee teheeeeee
ReplyDeleteAfadhali leo umekua mstaarabu, kumbe maneno ya kiungwana unayo ila unajichetua tu eeeeh!!
Hya Mungu akuzidishie busara.
Happy birthday to you dada Dida MUNGU akuongezee maisha malefu daima! WE SONGA MBELE DAIMA HATA WATU WAKISEMA
ReplyDeleteBY S.J
Happy birthday mamie
ReplyDeleteHappy birthday.
ReplyDeleteHappy birthday dida una bahati umezaliwa mwisho wa mwezi hahahhahahhahah Long Live Dida
ReplyDeleteHongera bi dada. mungu akuzidishie uhai mrefu sanaaaaaaa na akuepushie maadui na akulinde na shari za walimwengu. kwa maana naona unaandamwa sana shoga, yangu macho tu nikiingia ktk blog yako,wanakutesa na kukuandama kwa maneno.lakini yote ni majaribu ya dunia, omba mungu uyashinde, kwa maana binadamu sisi.....!!!! hatubebeki. nabaki nakuombea dua tu mwali kwetu. inshaallah
ReplyDeletewako mpendwa
Ashurah H
Denmark
happy birthday to you bi masahauzi.
ReplyDeleteONGERA DIDA KUMBUKA CHAPATI ZA SOSHO UTANIKUMBUKA AU MWADADA SALOON UTANIKUMBUKA
ReplyDeleteHongera dida,ukiskia ukubwa ndio huo mama kupambana na yote, kila la heri mumy,always Love you.
ReplyDeleteMossi
Tabora
umekua sasa utoto uache!
ReplyDelete