NAMSHUKURU MUNGU JAMANI MIAKA INASOGEA NA UZEE UNANINYEMELEA.

Monday, October 25, 2010 13 Comments


Nilikuwa nimetulia natuma mambo ndani ya blog jamani mara nashangaa kimya watu siwaoni kumbe wananivizia kunifanyia suprise nusu roho initoke.Ila nawashukuru sana maboss na wafanyakazi wenzangu kwa kuniandalia mlichojaaliwa tuendelee kuwa na umoja sisi daima mbele.
Nikikata keki kimadaha umri si mchezo.


Dj spesso anaekimbiza ndani ya shoo yangu ya mitikisiko kila ijumaa katika sebene, alidhani kanikomoa kunimegea lote chezea.
Thanks helen kwa kuniandalia keki.

13 comments:

  1. Jamani umependeza mwaya, umetoka simple kweli,
    MUNGU AKUBARIKI, AZIDI KUKUKUZA, AKUJALIE YOTE MAZURI, NA AKUEPUSHE NA MAOVU, HAPPY BIRTHDAY MPENDWA

    ReplyDelete
  2. cheka na watu uvae viatu kuishi na watu vizuri inaleta raha si umeonasuprise hiyo.chezzzzzea big up




    Amina Zangira

    ReplyDelete
  3. Hongera.
    Salaam kwa HR Helen Mnzava na Amina Singo. Pia nimeona mtu kama Aluta Warioba kwa mbaaali. Ndiye ama?
    Baraka kwenu

    ReplyDelete
  4. Tehe teheee teheeeeee
    Afadhali leo umekua mstaarabu, kumbe maneno ya kiungwana unayo ila unajichetua tu eeeeh!!
    Hya Mungu akuzidishie busara.

    ReplyDelete
  5. Happy birthday to you dada Dida MUNGU akuongezee maisha malefu daima! WE SONGA MBELE DAIMA HATA WATU WAKISEMA

    BY S.J

    ReplyDelete
  6. Happy birthday dida una bahati umezaliwa mwisho wa mwezi hahahhahahhahah Long Live Dida

    ReplyDelete
  7. Hongera bi dada. mungu akuzidishie uhai mrefu sanaaaaaaa na akuepushie maadui na akulinde na shari za walimwengu. kwa maana naona unaandamwa sana shoga, yangu macho tu nikiingia ktk blog yako,wanakutesa na kukuandama kwa maneno.lakini yote ni majaribu ya dunia, omba mungu uyashinde, kwa maana binadamu sisi.....!!!! hatubebeki. nabaki nakuombea dua tu mwali kwetu. inshaallah
    wako mpendwa
    Ashurah H
    Denmark

    ReplyDelete
  8. happy birthday to you bi masahauzi.

    ReplyDelete
  9. ONGERA DIDA KUMBUKA CHAPATI ZA SOSHO UTANIKUMBUKA AU MWADADA SALOON UTANIKUMBUKA

    ReplyDelete
  10. Hongera dida,ukiskia ukubwa ndio huo mama kupambana na yote, kila la heri mumy,always Love you.
    Mossi
    Tabora

    ReplyDelete
  11. umekua sasa utoto uache!

    ReplyDelete