HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.

Sunday, October 31, 2010 36 Comments


Jack walper.
Sauda mwilima.
Dida na swaiba maimatha.


Rungi.
Mpenda totoz issa mnally.
Mhhh isome kimoyoni.

Sauda akiyarudi.

36 comments:

  1. mi nawapendeni ila nawashauri kitu kimoja tu kwa vizuti dada zangu.dida na sauda make up zenu mnazopaka si kwa ajili ya ngozi zenu ni kwa ajili ya wazungu kwa hakika mkizipaka mnaonekana vichekesho badilisheni rangi za make up bila kumsahau slma masangi.

    hizo mzitupe jamanikwenye picha mnaonekana vibaya sana .munisamehe kama nimewakwaza

    tausi

    ReplyDelete
  2. hongera sauda umetoka bomba kinomi,kivaz chako na hicho kiatu mh,mi chichemi

    ReplyDelete
  3. Mrudieni muumba wenu,siku za mwisho zaja.

    ReplyDelete
  4. Kweli biashara matangazo! Hasa ikikudodea!

    ReplyDelete
  5. hizo picha zenu zinaniumiza macho mmekuwa weupe kama karatasi

    ReplyDelete
  6. hi, naomba kuungana na mdau wa kwanza kabisa kuhusu make up, for sure hizo make up haziendani na ngozi zenu ingekua busara kama mngefanya mpango mbadilishe zinawafanya muonekane kama vinyago flani hivi

    ReplyDelete
  7. sio kwa ubaya ila Rungi make up MHmmmmmmmm,jamani mimi nimejifunza kitu kimoja siku hizi kana watalamu wa make up na wanakushauri kulingana na rangi yako,then unakuwa unajua kabisa ni make up gani upake na kwa kiasi gani.ni hayo tu. tena wewe Dida unasafiri mno siku nyingine ukisha kusanya mzigo pita kwa wataalamu wakupe nondozi na ukirudi uwasaidie mashoga zako

    ReplyDelete
  8. na huyo sauda mtoto mfupi kama ndizi kisukari na amekomaa vibaya mno ona hivyo viguu vifupi kama vya bata alafu anavaa nguo fupi aoni aibi tazameni nguo za kuvaa na maumbo yenu, mnakuwa vechekesho

    ReplyDelete
  9. hvo viguu,m chichemi ,kama vijiti.na mngepata miguu sijui ingekuwa vp

    ReplyDelete
  10. H'day sauda. Nguo imekukaa haswa ila ngozi ka michael Jackson, ptuuuuuuuuuuuu!

    ReplyDelete
  11. anaewasifia HAWAPENDI yaani hizo make up sio rangi zenu hivi hamjioni, VINYAGO VIMESINGIZIWA poleni maana mnatisha kama VINYAGO

    ReplyDelete
  12. samahani Naomba kuuliza
    huyo rungi ni MTEJA????

    ReplyDelete
  13. teh teh teh semeni nyie wadau mliotangulia khs make ups jamani kama vinyago? na huyo sauda ngozi we muache kama kambiwa weupe ndio urembo basi yatamkuta,kujichubua gani huko? punguza mwanamke mzuri haijalishi ni mweupe ama mweusi .lkn mmh tuseme ukweli ukiwa painted black tutakimbizana mjini mana tutaona kama tumekutana na shetani. lol mbadilike wanawake

    ReplyDelete
  14. mh shoga mai kwani mwenzetu uliolewa p diddy mbona eda za wenzio unazivalia njuga, tena hurusiwi kutoka nje, haya we mwenzetu vipi. vua upate mume binti

    ReplyDelete
  15. kaziii kweliii kweliii...HIIII YOTE MIFUSKAA TU,CHEKII INAVYOO KAA UCHII,HAPO AKUNAA DEMU WA KUOWAA ILA MIDUNGAA YEMBE.MICHARUKO YA JIJII

    ReplyDelete
  16. Sauda umevaa LICHUPI LIBAYAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  17. sauda umependeza sana tu,na miguu yako sawa na mwili wako,watu mara vijiti mara nn nani kakwambieni miguu ya tembo ndo uzuri?tatizo lenu mmeganda bongo amtoki nj ya bongo,mnamaindi unene poleni sana mponyuma hasaa mnaohusudu unene,na matako makubwa kufuga uchafu tu,na we unaemponda mai kwani kukaa uchi ndo kupata mume?

    ReplyDelete
  18. HAHAH NIMECHEKA KWELI ALIESEMA BIASHARA MATANGAZO.

    SAUDA HONGERA, KIATU KIKO MWAAA, ILA BIDADA TOKA UNAANZA ANZA STAR TV MPAKA LEO, CHANGE IN COLOUR............UMEKUA MWARABU. HAYA BIBI UKIWA NA MIAKA AROBAINI SIJUI UTAKUA NA RANGI GANI

    HUYO NAE MWENYE MIPAJA MIKUBWA, NGUO FUPI HAIKUPENDEZI. MIPAJA YENYEWE INAMATUTA. AU ILIKUA MAPAJA SHOW AU HALOWEEN. MMH JAMANI WAKO WALIOPENDEZA ILA WENGINE JISITIRINI WANAWAKE

    ReplyDelete
  19. sauda umezidi kujichubua bwana, aaah hivi iliekujua 10 years ago atakutambua kweli. kujichubua ushamba. mwanamke uzuri wa ngozi iwe nyororo sio rangi eeh

    ReplyDelete
  20. ILA SAUDA AMEKAA KISHAMBASHAMBA JAMANI. NAMKUMBUKA KWENYE ULE WIMBO WA BONGO FLAVA, SIJUI UNAITWAJE. SI BURE ANAJICHUBUA. USHAMBA TU, WAKUJA KWELI KWELI, SIMFAHAMU ILA MI MTU ANAEJICHUBUA ANANIBOA JAMANI. HIVI HUONI VIDOLE VINAVOKUSUTA, VINA SUGU NYUESIIIII KAMA MTU UMEPAKA HINA

    ReplyDelete
  21. sauda mfupi kama kijuzuu

    ReplyDelete
  22. Du! SAUDA AAAA! UNASURA YA JINI HIVIII HIVIIIIIIII

    ReplyDelete
  23. kweli shughuli watu na watu wenyewe ndo hao. yaani waalikwa wote wana character za kufanana sijaona hata wa afadhali hapo. Kazi kujichubua tuuuuuuuuuu na kukaa uchi. na huyo sauda sijui nani alimfundisha na limdomo lake lipana sijui hata huyo B/F wake huwa hamuoni amwambie jamani maana inatisha

    ReplyDelete
  24. kwa mtazamo hapo haraka haraka, wengi hapo hawana rangi asilia
    mnajiona mnapendeza leo, ila huko mbeleni majuto.
    mkorogo ulimshinda michael jackson na hela yake sembuse nyie?
    hamvutii jamani
    mtaishia anika tu vitu dukani, bila wanunuzi , sana sana watakuja fanya test drive
    jipendeni darlings
    point two, huko kujianika pia inategemea na mwili
    kama bidada hapo na mipaja yake,haivutii
    ungeweka kitu cha suruali ,nadhani ungetusitiri aibu wanawake wenzio
    pia Dida, ni bora uzithaminishe picha kwanza kabla ya kuziweka humu mfano hiyo picha ya tano hapo!
    point 3..make up jamani,watu ndio mkajimwagia kikopo kizima tena sio cha rangi zenu, plus hapo kuna mtu ana wanja kama jini(ingawa sijawahi onana na jini..lakini nadhani ndivyo yatakuwa yanafanana)
    sauda nguo nzuri,ila haiendani nawe kwa point hii,mabegA na mwili wako unatakiwa vaa kitu cha kuku-elongate sio cha kukusindika kama kifusi.

    samahani kwa kuwakwaza, ila inabidi

    ReplyDelete
  25. Hizi foundation mnapaka mnaziona zimekaa vizurii kwenye kioo ila mnasahau flash za kamera hua zinafichua tofauti. Naungana na waliosema mchague colour zinazoendana na rangi zenu. Mwanamke kua natural inapendeza. Acheni kuiga. Na huo ukaaji weno wa uchi cio kila mwanamke anapendeza na nguo fupi jiangalieni. Ful figured gals maumbo yenu hupnekana vizuri mkijisitiri mapaja yanatisha jamani. KINYAA KITUPU.Sauda jitaidi kujiweka natura umekua MBAYAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  26. Make ups jamani tupate washairi kama hatuwezi kujishauri,laa yaani mmekuwa kama vinyago.

    ReplyDelete
  27. ila jamani sauda anapenda nguo ila tatizo nguo hazimpendi jamani ht avaaje hapendezi ng'o sijui tatizo ni nn.

    ReplyDelete
  28. vikaragosi wakutupwa

    bora waliooa maana
    ukitafuta mke sasa utaishia kukutana na vinyago...............
    pumbavu

    ReplyDelete
  29. mi nikimuona sauda katika kile kipindi chake huwa nachange channel kabisaaaa yani kwa kweli angeomba kipindi cha redio lakini tv big NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO asionekane havutiii,

    ReplyDelete
  30. guys let people waishi maisha yao mwaego you luk gud especially dida i love you dear

    ReplyDelete
  31. mmejiachia sana mko uchi siamini kama mmeolewa na kama mnawaume basi wanaume hao wanamatatizo na ndio maana Dida huwa unaachika kila wakati

    ReplyDelete
  32. Sauda umekuwa mkubwa sana kuwa mwarabu sio uzuri wewe, angalieni dada mmoja maziwa nje kweli hiyo au huo Umarekani unawasumbua?

    ReplyDelete
  33. Ninyi nyote mnaoponda hamna busara, kwa sababu inatakiwa ashauriwe na siyo ki-hivyo mnayofanya na pia mtambue kuwa tunajifunza kutokana na makosa. Nawe Sauda fanyia kazi ushauri unaokufaa usiokufaa achana nao. Tumia akili yako.

    ReplyDelete
  34. acheni kujichubua mpo kama vinyago,hivi nani kawambia mnapendeza?mnatia kinyaa.

    ReplyDelete