MSALA...

Thursday, July 17, 2014 0 Comments

UWOYA AFANYA FUJO KUBWA NYUMBANI KWA MUME WA MTU NI BAADA YA KUGUNDUA KAOA BADALA YA KUMUOA YEYE

NYOTA wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya amesababisha tena! Safari hii amekinukisha nyumbani kwa mwanaume aliyewahi kuwa mpenzi wake (jina tunalo) kufuatia jamaa huyo kufunga ndoa na mwanamke mwingine na kumfanya Uwoya kuendelea kuwa ‘nyumba ndogo’.

0 comments: