HAWAKUWAONA KINDERGARTEN WENZAO MPAKA WAKAJA KWA MAMA ZAO WAKUBWA KITAILEWEKA SHILOLE...

Tuesday, July 15, 2014 0 Comments

SHILOLE AKATALIWA UKWENI KISA UMRI MKUBWA KUMZIDI SERENGETI BOY WAKE NUHU MZIWANDA

shilole
Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu yao.
Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanandugu hao (majina yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa kuishi na ndugu yao, Mziwanda kwani hawaendani.akini tunaumia kuona ndugu yetu katika penzi zito na Shilole ambaye hawaendani kiumri,” alidai mmoja wa ndugu hao.
nuhu
Alipotafutwa Shilole ili kufikishiwa ujumbe wa ndugu hao kwamba hawamtaki, simu yake ya kiganjani iliita bila kupokelewa.

0 comments: