MAHABA MAHABANI...
Kim Kardashian afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu maisha yake ya mapenzi na Kanye
Baada ya Kanye kufunguka kuhusu Kim na kusema ni mwanamke
aliyembadilisha sana, Kim Kardashian nae amejibu mashambulizi
alipotokelezea kwenye Tamasha la Cannes Lions huko Ufaransa...
''Najisikia kama tuko fungate kila siku..kila siku kwetu ni kama birthday..na-treat kama kila siku ni siku yake ya kuzaliwa na nadhani ndio itakuwa hivyo kila siku. Tunajaribu kuyafanya maisha yawe ya kuvutia maana tunasafiri,tunafanya kazi kwa bidii..kila muda tunakuwa wote na hata ikitokea hatuko pamoja basi tunafanya mawasilia 24/7 – ili kujaribu kweka kumbukumbu nzuri ya muda''
.png)







kwa raha zake, katokelezea mbaya
ReplyDeleteiga ufe
ReplyDelete