WATU NA VIZAZI VYAO LOL...

Wednesday, June 25, 2014 0 Comments

Kortney Kardashian anatarajia mtoto wa tatu na aanika kitumbo live..

 

Akiwa ni mama wa watoto wawili sasa,dada wa staa asiyekauka kwenye midomo ya watu na vichwa habari Kim Kardashian, Kourtney Kardashian (35) anatarajia kuitwa mama kwa mara nyingine tena yaani ni mjamzito akiwa anategemea mtoto wa tatu na mpenzi wake wa muda mrefu Scott Disick.

Scott alishawahi kutamka kuwa haitaji mtoto mwingine sasa kwa kuwa hataki watoto wengi na aliyazungumza hayo kwenye show yao ya Keeping up with the Kardashians kitu kinachoonekana kimeshindika maana bidada anatarajia tena lol!

0 comments: