UKIONA UMEBANWA KWANGU UTASOGEA...
HIVI NYIE MNAOKUJA UMU MSINICHAMBISHE BILA KUNYA SIJAMTAJA MTU JINA NA
SINA NINAYEMUOGOPA UMU DUNIANI ZAID YA MUNGU NA WAZAZI WANGU NIMTAJE
WEMA NA PENNY WANANIHUSU NINI KWENYE MAISHA YAO MSHANIONA NACOMMENT VITU
VYA KIJINGA KUHUSU MAISHA YAO YANGU YANANISHINDA KWA NINI NI BEBE BANGO
YA WATU, MNAOSUBIRI NIACHWE SIJAKWAMBIA EZDEN BABANGU MZAZI KUSEMA
HATUTAKOSANA ILA KWA SASA MTASUBIRI TRENI BUS TERMINAL UYO WEMA NA PENNY
WANANIELEWA SIINGILII MAPENZI YA WATU NADUMISHA YANGU YAO HAYANIUSU KWA
IYO ANGALIENI CHA KUTAMKA SINA MUDA MCHAFU WA KUONGELEA MAPENZI YA WATU,MSIMTAFUTE MCHAWI FANYENI YENU HUJALAZIMISHWA KUFUNGUA BLOG YANGU KILA KUKICHA MANENO SIPENDI NIACHENI NIFANYE YANGU NAANDIKA NINACHOTAKA TUWAACHE PENNY,WEMA,DIAMOND NA MAISHA YAO MWISHO WA SIKU WAO NDIO WANAJUA MAISHA YAO NAANDIKA MAMBO YANGU NAJIGUSA MIE MWENYEWE NA WENGINE SO ANGAIKENI NA YENU....
tell them madam wamezidi
ReplyDeleteMIND YOUR KAZI DIDA
ReplyDeleteA NEGATIVE MIND WILL NEVER GIVE YOU A POSITIVE LIVE.
SIJUI NIKUWEKE KUNDI GANI SASA WEWE UNASAFISHA KINYWA UKU UMEWEKA MSG YAKUNYWEA CHAI SASA UNAMFUMBIA NANI KAA SIO HAO HAO WANAOKUTUMA,
MUME NA MKE WANAACHANA NA WANARUDIANA SASA AJABU IKO WAPI?
KUM.. INAACHA ALAMA YA MTU .WEWE UMEWEKE MSG CHINI JUU UNAANDIKA NINI?
USIOGOPE SHOMBO BABUU NA WEWE UNAUZA UTUMBO KWA MAPENZI YAKO
LOVE YOU
Waambie hao dida wamezoea kusema sana wafanye yao na wakuache miaka yote we na mume wako
ReplyDeleteumeongea point kbsaaaaaaaaaaa dada yngu live yua life let them be and their life
ReplyDeletepole dada hao ndi wanadamu walivyo m nina kero yangu ntakupaje ili nikwambie
ReplyDeleteWameshavurugwa hao wapotezee kubishana nao ni sawa na kubishana kichaa asivue nguo. let them say kila mtu ujumbe ameuelewa kwa njia yake sasa hao wajuzi wa kutafsi tayari wameshatafsiri wanavyojua wao. let them say . piga kimya pia nijibu tosha .
ReplyDeletediamond kamuua wema alivyomrudia,wakubwa tunajua...
ReplyDeleteKWA MTONYO GAN EBU TUPE HBAR ZA TOWN UMBEA AUNA KIDGO AU
ReplyDeleteAchana nao maisha yao wenyewe maagizo sasa wewe unahangaika nao wa kz gani vilaza hao
ReplyDelete